Ondoa Mikosi Maishani Mwako kwa Chumvi

Kwani kwa sukari ama asali siwezi kuondoa mikosi?
Content,dutu, components zilizomo kwenye sukari,asali ni tofauti na zilizomo kwenye chumvi.
Nguvu za giza ( laana na mikosi) utenda Kazi kwa kanuni so kuna component zinazoblock hizo nguvu za giza yaani hazipatani.
Huwezi zuia radi kwa kamba ya plastic bali copper wire so na uchawi una namna yake ya kuuzuia,yapo madini,miti,ndimu,kitunguu saumu nk vyenye components zinazouia uchawi.Mfano madini ya shaba,nk.
 
Njia ya kuondoa mikosi ni kuishi katika utakatifu
Usafi wa Roho
Usafi wa Mwili
Usafi wa Matendo.
Boss watu wengi wanaishi hivyo lakini nuksi na mikosi kwao ni kama nyumbani, mimi sio muumini sana wa mambo ya imani au nguvu za giza lakini najua kuna ulimwengu mwingine wa kiroho au ambao binadamu hatuuoni kwa macho yetu, waswahili wanasema akili za kupewa changanya na za kwako
 
Unakunywa pombe
Unafanya Uzinzi
Hutoi sadaka
Usaidii masikini
Usaidii wazazi wazazi


Hiyo ndo maana halisi ya
Usafi wa Mwili , roho na matendo
 
Chumvi ya mawe inapatikana wapi?Mbona naona tu hizi za unga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…