Ondoa Mikosi Maishani Mwako kwa Chumvi

Ahsante kwa ufafanuzi mkuu[emoji120]
 
Chumvi chumvi dah punde itaanza kupanda bei

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Hivi kuna mtu ashawah kuugu UTI na akanywa maji mengi tu akapona ?bila ya dawa hospital
Fika hospital pima uende na patna wako mpate tiba kwa pamoja na kama una wa pembeni naye apate tiba na umuhamasishe amtibu na mwenzake na mwenzake na mwenzake ili muwe safe kwenye chain yenu,,, zaidi ya hapo utaugua sana na usipojiangalia kizazi unakizeesha;!!
Au lah kama umepima na ukiona iko na ni mpenzi wa miti shamba dawa ziko,,,, mtafute dk mzizi mkavu,,,
Usisahau wakati wa dawa muwe mna
kunywa maji ya kutosha!!!!

Pole kama tatizo ni liko kwako ila hakunaga kitu sugu Bali tabia zetu. ndo huzalisha usugu wa tatizo
 
Siumwi UTI ila huwa naona watu huwaambia kunywa maji mengi ndio nilitaka nijue inasaidia?
 
Ata mie nakuunga mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…