Chumvi inahusika vipi kutibu tatizo la tumbo.
Jilani yangu kanigongea saa kumi kamili usiku anahitaji chumvi na sukari mama yake anaumwa tumbo
Katika hali isiyo ya kawaida kanigongea dilishani ikiwa mlango wangu na wake viko karibu karibu sana tofauti na kwenda nyuma ya nyumba kugonga dilisha.
Nimelifikilia ili suala sana.imekaaje hii mkuu?
Ikumbukwe mchana wa siku hiyo nimemwaga sana maji ya baraka na upako ndani kwangu na nyumba yote kwa ujumla.alafu usiku wa saa kumi mtu anakuja kuniomba chumv na sukari.