Ondoa ''misconception'' kuhusu Wanyarwanda

ni ya Phillipo Bukilillo, mtanzania mwenye asili ya Kinywarwanda anayakataa unyarwanda.
Hawa watu wenye asili ya nchi mbili ni bora serikali iweke sheria ya kuwatambua Kama ni wageni/wahamiaji tu. Hivi mtu kama huyo ukimpa nafasi nyeti serikalini unategemea ataifanya kwa uaminifu kweli ikiwa ana maslahi/mapenzi na nchi nyingine? Haiwezekani tukawa na watanzania wanaoitukana nchi yao huku wakijificha ili wapate ardhi ya kujenga na kulima chakula. Rwanda ingekuwa ni nchi kubwa, hawa watu wasingethubutu kujiita wasukuma, wasingekuwa wanakimbilia Tsnzania, Ila shida zao ndizo zinawafanya wakimbilie Tanzania.
 
Umenena mkuu
 
Ahsante kwa habari njema kwani kuna wakati siasa na wanasiasa wanaweza kufanya ukachukia aina ya watu Fulani bila sababu za msingi
 
Hizo ni Chuki binafsi na Wivu usiokuwa na maana.
Kwa maoni yangu TZ ina mengi ya kujifunza toka Rwanda. Kwa mfano usafi wa mazingira, nidhamu ya polisi wao, utii wa sharia bila shuruti, nidhamu kazini, ukarimu kwa wageni na mengineyo mengi. kwa yeyote yule ambaye haamini haya ninayoyaandika basi aende mwenyewe akaone.
 
Nahisi wewepekee.mtoa mada ndie ulikuwa dhana potofu woii
 
Msukuma gani wewe umayeweza kuponda vya nyumbani kwenu? Wewe ni mtutsi tu hata kama ukizaliwa Tanzania.
we kweli nyumbu, nimeponda nini cha nyumbani?! usukuma wangu achana nao jali unyumbu wako, mtutsi ni wewe nyumbu na ukoo wako wa manyumbu, kwani kuwa msukuma ni big deal na kuwa mtutsi ni makosa?! mbona mie ni msukuma lakin sioni usukuma wangu unavyonisaidia katika maisha ya kila siku. kwenye duka la mkate wanataka hela na sio kabila la mtu, vile vile idara ya maji kwenye bili zao ni hela tu hakuna punguzo kwa kabila lolote, tanesco, nauli kwenye usafiri, sokoni, nk. ebu wewe nyumbu tuambie unyumbu wako unakusaidia nini?!
miafrika ndivyo tulivyo
 
Baba yangu alifanya kazi serikalini kabla hata mimba yako haijatungwa kwenye tumbo la Mama yako. Mama yangu alifanya kazi serikalini miaka mingi sana. Sasa usiropoke humu JF kwa sababu hatufahamiani ukajiona una akili sana. Hao wanaoitwa watanzania si ndio hao hao ambao rais magufuli anawatumbua majipu. Utanzania wao unafaida gani kwa nchi waliyozaliwa. Waliofilisi mashirika yote ya umma wana pasipoti halali za Tanzania, utanzania wao una mchango gani kwa Taifa lao. Viongozi wa mashirika ya umma wanaosubiri kutumbuliwa baada ya TAKUKURU kuanza kazi, wote wanazo pasipoti za Tanzania, utanzania wao una faida gani kwa mwananchi wa kijijini ambaye hajawahi kuchota maji ya bomba tangu azaliwe?. Rwanda na udogo wake, ni nchi safi mara mia moja kuliko Tanzania. Kigali na udogo wake huwezi kuilinganisha na Dar kwa swala la usafi. Mpaka aje Magufuli ndipo tutambue maana ya usafi!. Pride ya utanzania inakusaidia nini wakati kila katika ofisi unayoingia unatoka nje ukiwa na malalamiko zaidi ya mia moja!. Rafiki yangu mimi ni mtanzania kuliko wewe, nimekulia maisha ya jijini Dar tena Dar ile ya zamani sio hii Dar ya foleni za magari kila siku. Nimekimbiza mwenge enzi zile za awamu ya kwanza. Sidhani kama ulikuwepo duniani. Be careful, usiongee maneno ya kipumbavu ukapata support ya wajinga, ukajiona una akili.
 
Huyo konda wa daladala ana akili mbovu sana, kila mtu anamchukulia simple tu.
 
Please saidia ufafanuzi hapo pa kufananisha na Mkoa wa Kigoma huku unazungumzia dhuluma, mauwaji na wizi wa madini.

Kigoma nao wanafanya kama haya wanayoyafanya Rwanda?
Anataka kuudhi watu kama sie
 
Hahaha
Umenifanya nicheke barabarani du!
 
Jamaa amepita Rwanda tu
Basi kumemfanya aamini kila jambo kwake ni safi
Ningumu kuelewa yaliyo mioyoni mwa warwanda kwa kupita tu
 
Kanchi kenyewe kaduchu. Kwa kiongozi kama Kagame lazima kang'ae. Hata Zanzibar hisinge kuwa ukuda Wa bara wangekuwa mbali mno.

Rwanda wana Sera ya nyumbani kwanza. Na kwa Sasa ni wengi kuliko nchi. kwahiyo wametawanyika duniani kote kwasasa. Lakini kila aliyeko ugenini analipa kodi ya kuijenga nchi yao.
Na kama utaenda kuishi nchi ya ugeni ukawakuta ""wenewachu"" shariti huulizwe ymekuja kufanya nini hili usaidiwe, kama nibiashara watakupa mtaji Wa kutosha. Wamejipanga vya kutosha. Lakini utusi na uhutu hautaisha. Kila mmoja anavizia mwenzake asinzie aone cha moto.
 
Mipango yao niyamuda mrefu si yamuda mfupi kama ccm wanavyo fanya sasa. Wanyarwanda wanawaza miaka 50-100yrs tocome. Kwaajiri yao. Hawakotofauti sana na wazungu. Kitu alipanga babu kitukuu na kilembwekezi wanatekeleza Leo. Niwatu makini sana kwakuwa ni watu Wa vita vya wenyewe kwa wenyewe. Nivita ambayo haishagi.
 

Usiwe mkurupukaji soma vizuri alichosema Daud1990 hapo juu kuhusu madai ya Dr. Walid Aman Kabourou kumhusu serukamba

Tanzania haina kabila la watu wanaoitwa watutsi kama ambavyo
rwanda isivyo na kabila la wachagga nchini kwao, hivyo ni kosa kisheria kwa mtutsi kushika nyadhifa za kisiasa au kiserikali nchini Tanzania kama ambavyo mchagga asivyoruhusiwa kushika nyadhifa za kisiasa au kiserikali nchini rwanda, hapo ndipo kunakozaliwa hisia za utaifa na uraia kwenye jamii zote duniani. Hata mimi sipendi ubaguzi, Ila kwa kuwa tumeridhia kwamba waitwe watanzania na wengine waitwe wanyarwanda hakuna tatizo, kikubwa tu kusiwe na miingiliano inayoweza kuondoa tofauti hizo za utaifa kwa kila mtu kutoka kwenye nchi yake. Huo ubaguzi unaousema sijui ni upi?
 


Nataman nianzishe uzi kuhusu watusi nadhani wanaopinga wangeelewa... Nimeishi na watusi ninawajua since my childhood
 
Picha ya Eistein ina uhusiano gani na mchango wako kwenye hii thread? Hilo la ubaguzi umelisema wewe, hakuna mahali nilipoonesha ubaguzi, au unaweza kuonesha huo ubaguzi?
 
Naona unajitahidi sana kusafisha hawa watu, hiyo ni dalili ya kutosha kusema kuna kitu cha kusafisha. Hukutwambia kama ulitembelea museum ya genocide na kuona hayo mafuvu ya watusi!!! Ingawa wale tulioona viwili viwili vimekatwa vichwa Kagera ilikuwa baada ya Kagame na RPF kukamata sehemu kubwa ya nchi. Sijui nani alikuwa anaendelea kuua watu na kutupa viwili wili Kagera wakati Habyarima alishakufa, wahutu na serkali yao walishashindwa wakakimbia!!!
 
we unaziona ni facts lakin kiuhalisia sio facts, ndo maana nikasema facts gani za vile? elewa zile sio facts positively wala negatively bali ni mihemuko yako tu ya kila siku hapa jukwaani
"mihemuko" ambayo huchoki kuijibu!
 
1. Kumbe huna ujualo kuhusu Rwanda, sasa hizo hoja zako za Rwanda imetuzidi Tanzania hiki na kile umezitoa wapi?
2. Mada sio mpya kwangu ila wewe umejiunga Dec 2015, wewe ni mpya! Au ndio wale "watanzania/wakenya" mashabiki wa Rwanda ambao mna ID mpya mpya lakini nikishawashinda mnadai mnanijua siku nyingi sana, mlikuwa mnafuatilia tu bila kujiunga? 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…