Ondoa ''misconception'' kuhusu Wanyarwanda

Ondoa ''misconception'' kuhusu Wanyarwanda

Bwana Chiwaso nyinyi ni kina nani?. Mimi hunijui unawezaje kunijumlisha katika nyinyi?.Matusi na kejeli zote za kazi gani ndugu yangu. Ila tukiambiana ukweli watu nafsi huwa zinauma sana. Hayo yote uliyoyasema yanawahusu wanyarwanda, mimi ni mtanzania kama wewe ila najaribu kujenga hoja, maybe zinaweza zisiwafurahishe watu lakini ni maoni yangu kutokana na uzoefu wangu wa maisha. Hayo yote uliyoyataja ni matatizo ya bara zima la Afrika, huo unyama uliouzungumza hauko tu Rwanda, hivi sasa kule DR Congo kuna kina Mama wanabakwa na wanajeshi. Kule Sudan kuna watoto wanabebeshwa bunduki waende kufanya uharamia. Afrika kwa ujumla wake ni bara lenye aina fulani ya laana. Wewe ukubali au ukatae, huo ndio ukweli.

Roho ya ubaguzi iliyo katika maandishi yako ndio ile ile ambayo Marehemu Nyerere alikuwa akiilaani kila siku. Kusema nyinyi na sisi bila kuelewa impact ya maneno na hisia za kibaguzi. Wala usiweke akilini mwako wazo kuwa kuna kitu kimoja katika uzima wake kinaitwa Tanzania, ukiivunja Tanzania unapata Tanganyika, ukiivunja Tanganyika unakutana na muunganiko wa makabila 120 ambayo kila mmoja lina asili ya mbali kabisa na lilipo kwa sasa. Wagogo wapo Ivory Coast, wangoni wanatoka Afrika ya kusini, wasukuma na wanyamwezia asili yao afrika magharibi, wajaluo wa tarime asili yao sudan, wachagga asili ya Ethiopia. Kila kabila unalolifahamu wewe hapa Tanzania mzizi wake sio wa hapa, tunakutanishwa pamoja na wazo la Utanganyika ambalo limezaa Utanzania. Sasa usije ndani ya fikra zako ukajivunia kitu ambacho ule moyo wa mshikamano ndio umekifanya kikawepo. Punguza hisia za kibaguzi. Mimi nimezaliwa Mwanza, nimekulia Dar, nimeishi Dar tangu mwaka 1978 mitaa ya gymkhana club. Nimeishi mtaa wa shaaban robert ambao unaanzia katka ile njia inayokwenda Ikulu na unaishia katika ile njia inayoingia gymkhana club. Mzee wangu alifanya kazi serikalini kuanzi mwaka 1962 mpaka mwaka 1992. Mitaa ya posta mpya, mitaa ya sea view, mitaa ya kilimanjaro hotel, mitaa yote ya upanga, ndio maeneo niliyokulia.
Msimamo wako juu ya Rwanda unampa shida kila mtu kuamini hiyo historia yako na uraia wako. Huwezi kuwa na umri kama huo halafu usijue historia ya wazi kabisa ya Rwanda.
 
Of all the countries hatuwezi kuwaiga wala kuwaonea wivu Wanyarwanda na ni ujinga kufananisha Rwanda na Tanzania. Pengine ufananishe Rwanda na Mkoa wa Kigoma. Serikali ya Rwanda inanuka damu na dhuluma kwa wahutu iliyowaua na kwa madini wanayoyiba huko DRC. Sisi tuna Serikali ya kedemokrasia na tunaruhusu uhuru wa mawazo wakati huko Rwanda kuna udikteta na utawala wa kiimla tu. Tuna ma-Rais watatu wamebadilishana madaraka katika kipindi ambacho Rwanda ina Rais mmoja anayeendelea kuua wapinzani wake wa kisiasa. Kimsingi hatuna cha kujifunza toka Rwanda
Unaharibu mkuu kuifananisha nchi na mkoa. Una maana mkoa wa kigoma nao unanuka damu za watu? Tuache haya...

Rwanda na Burundi ni nchi zenye makabila makubwa mawili yaani wahutu-majority na watutsi-minority. Lkn pia huwa kuna watwa ambao ni chini ya 5% na wansjumuishwa na wahutu.

Watutsi ndio wenye shida kutokana na imani yao kuwa wao ni matajiri na ni watawala. Kamwe hawapendi kuwa chini ya mtu.

Pili, mleta mada na wachangiaji baadhi wanadai mauaji ya kimbari yaliwafunza mengi lkn napenda kukuhakikishia kuwa ubaguzi wa ututsi na uhutu bado uko na kwa rwanda ndio wanaofaidi nchi wkt kwa burundi ndio wanaopigana kuyapata madaraka.

Ili ujue ubaguzi uliopo, nenda kafanye urafti ujue ni wangapi wameoana, au wewe jaribu kuchumbia mtutsi uone kama utafanikiwa kumwoa, na kama utamwoa, tuleteee mrejesho wa ndoa yako baada ya miaka 10 tu unatosha kufanya tathmini.

Tatu, watutsi ni wakarimu machoni lkn watu wa kisasi na roho mbaya moyoni mwao. Anaweza kukuchekea, lkn ataa na ubaya dhidi yako maisha yake yote na atarithisha kwa wanae.

Kwa hapa Tanzania, kabila lenye ukarimu wa hali ya juu lkn ni wakatili zaidi kuliko kabila nyingine ni WASUKUMA. Hawa jamaa zangu smile face haikatiki usoni lkn wanaweza panga mauaji ya ndugu yao wa damu kwa kukata mapanga na kumlipa ng'ombe wawili hadi wanne. Ndiyo maana mauaji yanayoambatanishwa na imani za kishirikina huku usukumani ni mengi na ni ndugu kwa ndugu.

Hivyo, smiling face wala ukarimu usikutishe. Kwetu tuna imani na tumeona, wanao tuhumiwa uchawi 98% ni wakarimu muno. Wanaonesha ni wenye upendo sana
 
1. Kumbe huna ujualo kuhusu Rwanda, sasa hizo hoja zako za Rwanda imetuzidi Tanzania hiki na kile umezitoa wapi?
2. Mada sio mpya kwangu ila wewe umejiunga Dec 2015, wewe ni mpya! Au ndio wale "watanzania/wakenya" mashabiki wa Rwanda ambao mna ID mpya mpya lakini nikishawashinda mnadai mnanijua siku nyingi sana, mlikuwa mnafuatilia tu bila kujiunga? 😀
Rwanda hawana kipindupindu, Tanzania mpaka leo inahangaishana na uchafu.Tanzania imejaa ujuaji wa kibwege, Rwanda hawana muda huo. Rwanda inajiamini mpaka inaweza kuandaa michuano ya CHAN na baada ya miaka michache ijayo itaanda michuano ya AFCON, Tanzania yenye miaka 55 ya kuwa huru imewahi kuandaa michuano yoyote ile ya Afrika?. Tanzania ni nchi yetu lakini inaposhindwa kufanya mambo kiuweledi lazima tuiseme. Tulipokuwa watoto tulikuwa tunapigwa sindano, kuanzia inapoingia kwenye makalio mpaka wakati dawa inaingia mwilini, ni maumivu matupu, lakini tulikuwa tunaponywa dhidi ya maradhi mengi tu. Ni lazima nchi yetu tuipige sindano ili iweze kupona. Kujiunga JF mwaka jana au mwaka juzi sio ujanja. Kuna wajinga wangapi wanajiunga JF kila kukicha?. Mimi ninaijua Rwanda na ninayajua madhara ua vita za mwaka 1994, wale wakimbizi wa Rwanda walitengenezewa kambi yao pale Ngara, kama kilometa moja na nusu kutoka katika eneo la Baba yangu. Ninawajua wanyarwanda pengine kuliko wewe unayetafuta umaarufu wa bei rahisi.
 
Msimamo wako juu ya Rwanda unampa shida kila mtu kuamini hiyo historia yako na uraia wako. Huwezi kuwa na umri kama huo halafu usijue historia ya wazi kabisa ya Rwanda.
Tanzania inaugua ugonjwa wa kupenda kusifiwa na kutopenda kuambiwa ukweli, huu ni ugonjwa sugu ambao katika miaka 55 ya uhai wa taifa hili, umekuwa ukitusumbua sana. Tunapenda kuyasikia yale mazuri tu, hatupendi kabisa kupewa challenges, that is why we are still so poor. Hao wakimbizi wa Rwanda na hata wale wa Burundi wamezagaa sana kule Ngara. Actually kambi ya wakimbizi ya mwanzo kabisa ambayo iliwahifadhi wakimbizi wa mwaka 1994 ilitengenezwa kama kilometa moja kutoka katika shamba la Baba yangu,so ninapoongea kuhusu hawa jamaa wa Rwanda na Burundi ninaongea kupitia uzoefu na siongei nadharia. Movement ya warundi imetutesa sana kule Ngara, unakuta ukarimu wa kitanzania unaifanya familia moja inamchukua mrundi mmoja na kumhifadhi, analima shamba kwa miezi mitatu halafu shukrani yake ni kumfanya unyama yule aliyemkaribisha. Ninapowaongelea warundi na wanyarwanda ninaongea mambo ambayo ninayaelewa vizuri sana.
 
Philipo Bukililo kunakitu ikuweza balansi. Kambi za benako na ngara zilikuwa na wahutu pekee. Na kwa Sasa Rwanda inaongozwa na watusi. Tabia za wanyarwanda Wa kitusi nitofauti na wahutu. Nakipa hii ukimuoa mtusi juwa yakwamba watoto watakao zaliwa siyo wakwako wote wanamfanana mama. Kumbe watoto ni wamwenewachu aliye kutembelea siku flani.
 
Philipo Bukililo kunakitu ikuweza balansi. Kambi za benako na ngara zilikuwa na wahutu pekee. Na kwa Sasa Rwanda inaongozwa na watusi. Tabia za wanyarwanda Wa kitusi nitofauti na wahutu. Nakipa hii ukimuoa mtusi juwa yakwamba watoto watakao zaliwa siyo wakwako wote wanamfanana mama. Kumbe watoto ni wamwenewachu aliye kutembelea siku flani.
He he he ndugu yangu umenikumbusha mbali sana (mwenewachu). Watutsi nawaelewa sana, majivuno yao nayajua sana, lakini ndio maisha ambayo tunapaswa kuyaishi. Maisha mafupi lakini matamu.
 
Usiwe mkurupukaji soma vizuri alichosema Daud1990 hapo juu kuhusu madai ya Dr. Walid Aman Kabourou kumhusu serukamba

Tanzania haina kabila la watu wanaoitwa watutsi kama ambavyo
rwanda isivyo na kabila la wachagga nchini kwao, hivyo ni kosa kisheria kwa mtutsi kushika nyadhifa za kisiasa au kiserikali nchini Tanzania kama ambavyo mchagga asivyoruhusiwa kushika nyadhifa za kisiasa au kiserikali nchini rwanda, hapo ndipo kunakozaliwa hisia za utaifa na uraia kwenye jamii zote duniani. Hata mimi sipendi ubaguzi, Ila kwa kuwa tumeridhia kwamba waitwe watanzania na wengine waitwe wanyarwanda hakuna tatizo, kikubwa tu kusiwe na miingiliano inayoweza kuondoa tofauti hizo za utaifa kwa kila mtu kutoka kwenye nchi yake. Huo ubaguzi unaousema sijui ni upi?
Mhh
 
Philipo Bukililo kunakitu ikuweza balansi. Kambi za benako na ngara zilikuwa na wahutu pekee. Na kwa Sasa Rwanda inaongozwa na watusi. Tabia za wanyarwanda Wa kitusi nitofauti na wahutu. Nakipa hii ukimuoa mtusi juwa yakwamba watoto watakao zaliwa siyo wakwako wote wanamfanana mama. Kumbe watoto ni wamwenewachu aliye kutembelea siku flani.
Kwahyo m7 alichapiwa?
images (12).jpg
 
Kuna mengi ya kujifunza kutoka Rwanda
 
Waungwana kaka yenu nakaribia kurudi nyumbani baada ya kuishi hapa DRC kwa Takriban miaka 2.

Katika kipindi chote nilichokaa hapa nimejifunza mengi sana ila leo nitazungumzia kuhusu hawa jirani zetu Wanyarwanda.Maana nimekua nikipita hapa mara kwa mara. Kwa kifupi ondoeni dhana potofu kuhusu hawa jamaa maana mimi dhana hiyo tayari nimesha ifuta. Wengi wenu kama sio wote mnadhani kuwa wanyarwanda ni watu ''wasio poa'' au ni wenye majivuno labda wengine mnadhani eti hawatupendi Watanzania.

Dhani hizi ni potofu kweli kweli, mwanzoni nikipita hapa sikua nikiongea kiswahili ili nisitambulike maana niliogopa kweli hawa jamaa. Baadae nikagundua dhana yangu sio sahihi kabisa na Mungu anisamehe.

Hawa jamaa hawana shida kabisa na wageni hasa Watanzania. Nimekaa Hoteli mbali mbali hapa nikiwa transit kwenda DRC au kurudi Home Tanzania, na kote huko nimechukuliwa vizuri sana tu.

Sio hotel tu , nimepanda boda boda, nimefika masokoni, msikitini , madukani kote huko hawa jamaa ni wakarimu sana na nimetendewa vizuri kwa kweli.

Wacha niweke mifano michache hapa mnielewe, nasisitiza michache mana nimengi nimeyaona positive.

1. Nikitoke DRC kurudi home ( niko njiani) tukiwa pale Kingarama Restaurant nikapata shida kidogo ya chenji ya Dollar kwa FRC ya Rwanda ili nipate Supu, wakati nikitaka kutoka nikatafute nje chenji mzee mmoja akasema kumwambia mhudumu mwache apate hiyo supu nitalipa mimi kama 'felistation' maana walitufunga kombe la CHAN huyu mzee alijua mimi ni Mkongo, nikala na wala hakukaa kuni bore kwa vile ameninunulia supu alitimua.... nikashangaa maana DRC husema hawa jamaa hawawapendi

2. Mh PK alitoa ma Bus kadhaa kuja pale Gisenyi kuchukua mashabiki wa DRC bure ili waje washangilie timu yao .... BUS zilijaa wakongo na walilindwa na wakarudi kwa amani.

3. Nilipofika Kigali na baada ya kuchukua Hotel, nikataka kwenda Masjid kusali , nikauliza Reception , kwa mshangao akadakia jamaa mmoja na kuniambia ''msikiti uko mbali ila subiri nitakupeleka maana naelekea njia hiyo hiyo huyu hakua musilam na hakua akinijua , ni tax man tu alie leta mteja pale. Njiani tulipiga soga sana.

4. Nikiwa hapa kwa siku ya pili na ticketi yangu ikiwa ya jioni nikaona ni negotiate nikae mpaka jioni kwa kulipa kidogo chumba maana check out ni saa tano asubuhi... Manager akasema ''kaa tu usilipe chochote , karibu tena wakati mwingine''.

5. Huko mitaani niliko kwenda kutembea jana usiku, nilikutana na ukarimu sana hasa unapouliza direction na mengine. hawa jamaa wana smile sana na sio ya smile ya kinafiki au ya kutegemea kitu

(a) Kitu nimegundua labda unaweza sema cha kushangaza au sio kizuri ni kwamba watu hapa hawaongelei siasa sana , ni aghalabu kukuta watu wakiongelea siasa hapa tofauti na home TZ kila mtu politician

(b) Printing media sio nyingi ila TV station wanazo nyingi tu

(c) Polisi ni vijana na hawacheki cheki wako serious kweli ila ukiuliza kitu wanakujibu vizuri tu

(e) Rushwa hapa sio sana labda niseme hakuna, polisi akikumata unaandikiwa charge hakuna zile za kuvutana nyuma ya gari na watu wanatii sheria kweli kweli

(f) Ule mfumo wa ukusanyaji kodi kila duka hapa, na kuna ka machine kama ka fingure print sijauliza ni ka nini ila ni ka mamlaka ya Kodi ya Rwanda. ( hapa nikakumbuka zile machine zetu sijui zilishia wapi maana zilileta sintofamu)

(g) Taxi zina Automatic Counter kama za Europe


NIMEONA MENGI WACHA NIACHIE HAPA NA WENGINE WACHANGIE MAANA NATUMAINI KUNA WENGI WAMEPITA HAPA PIA, WITO WANGU KAMA UNA JIRANI YAKO MNYARWANDA USIMTENDEE VIBAYA HAWA WATU WENGI WAO NI WAZURI SANA KWETU
Vipi kuhusu mabinti wakinyarwanda. Je nao ni wakarimu kwa wageni? Na 🐱
 
Back
Top Bottom