Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,804
- 10,715
Mambo hutokea kwa kasi sana na hivyo kusababisha stress. Wakati mwingine ni muhimu kupata kitu cha kukufariji na hivyo kumaliza kabisa stress hiyo. Kwa mwana spoti si mbaya kama utapitia mtandaoni na ukatanua mbavu zako kwa kucheka huku ukijifunza mambo mapya katika ulimwengu wa soka. Anza na hii
Last edited by a moderator: