JOTO LA MOTO
JF-Expert Member
- Apr 11, 2018
- 758
- 555
Bila shaka Mkuu.Duh, huyo jamaa atakuwa Mmasai.
Hahaha shemeji anafukia menu balaa...kakaribishwa chai na mkate akawa anaona ona aibu anasema shemeji nimeshiba wala hata usiangaike...basi bidada akamuacha sebuleni...baada ya dakika 5 bidada karudi kakuta jamaa Kaumaliza mkate wote na akabambwa kwenye friji huko akipekua chochote kitu...alivyoulizwa vipi akabaki kuzuga..akasema nilikuwa naangalia kama kuna mkate mwingine...hahahaJoseverest, niambie amesemaje, sina MB za kushusha mzigo
Shemeji ana mambo ya ajabu kweli.Hahaha shemeji anafukia menu balaa...kakaribishwa chai na mkate akawa anaona ona aibu anasema shemeji nimeshiba wala hata usiangaike...basi bidada akamuacha sebuleni...baada ya dakika 5 bidada karudi kakuta jamaa Kaumaliza mkate wote na akabambwa kwenye friji huko akipekua chochote kitu...alivyoulizwa vipi akabaki kuzuga..akasema nilikuwa naangalia kama kuna mkate mwingine...hahaha
anawaza kula aisee...Mimi nilishaambiwa ukipata nafasi ya kula wewe kula acha kuona ona aibu na kuanzia siku hiyo nikikaribishwa nakula aisee..Shemeji ana mambo ya ajabu kweli.
hahahahahahahahahaahhaahahahahaHahaha shemeji anafukia menu balaa...kakaribishwa chai na mkate akawa anaona ona aibu anasema shemeji nimeshiba wala hata usiangaike...basi bidada akamuacha sebuleni...baada ya dakika 5 bidada karudi kakuta jamaa Kaumaliza mkate wote na akabambwa kwenye friji huko akipekua chochote kitu...alivyoulizwa vipi akabaki kuzuga..akasema nilikuwa naangalia kama kuna mkate mwingine...hahaha
njaa hatareehahahahahahahahahaahhaahahahaha
Shemeji katisha kwa kweli.Shemeji nimemkubali.
Huyo ni shemeji yako nini mzee baba?Shemeji katisha kwa kweli.