Ondoa stress kidogo, ki Arusha Arusha.

Ondoa stress kidogo, ki Arusha Arusha.

Joseverest, niambie amesemaje, sina MB za kushusha mzigo
Hahaha shemeji anafukia menu balaa...kakaribishwa chai na mkate akawa anaona ona aibu anasema shemeji nimeshiba wala hata usiangaike...basi bidada akamuacha sebuleni...baada ya dakika 5 bidada karudi kakuta jamaa Kaumaliza mkate wote na akabambwa kwenye friji huko akipekua chochote kitu...alivyoulizwa vipi akabaki kuzuga..akasema nilikuwa naangalia kama kuna mkate mwingine...hahaha
 
Shemeji ana mambo ya ajabu kweli.
 
hahahahahahahahahaahhaahahahaha
 
Back
Top Bottom