Ondoa uchovu na stress

Ondoa uchovu na stress

Sukari Yenu

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2014
Posts
1,698
Reaction score
1,257
Hivi ulikuwa hujui kuwa kisu nacho kina kata lakini hakina diwani?

Naye dobi hata ajue kupiga pasi namna gani hawezi kupata namba FC Barcelona.

Pia, ndoa nazo zinavunjika lakini hazifungwi P.O.P

Na je wajua kuwa kinyesi hakina miiba lakini ukikikanyaga lazima uchechemee

Hii itakushtua zaidi, kwamba umbumbumbu ni kumwandikia mtu 'I love you' na kusubiria jibu wakati hilo sio swali.

Piga ua garagaza, aliyeshinda njaa hawezi kupewa medali.

Mwisho kabisa usisahau taa nayo inawashwa lkn haiwezi kujikuna.

Sasa sijui wewe ulikua unataka kusemaje?
 
Mimi nilitaka kusema hiviiii........
 
Unajua kuwa spika wa zamani alikuwa ana makinda lakini alikuwa hafugi njiwa?
 
Ni kweli kabisa hata njiwa ana makinda lakini, hakuwahi kuwa spika wa bunge.
 
Back
Top Bottom