Ondoeni Kinga ya kutoshtakiwa ndipo msaini hizo HGA na DP World

Ondoeni Kinga ya kutoshtakiwa ndipo msaini hizo HGA na DP World

Serikali na Bunge imeonekana mna nia kabisa na ili dubwasha la DP World mliendeleze bila kujali wananchi wanasemaje! basi mi nawaomba kwa dhati kabisa Mh Rais Samia Suluhu uondoe kinga ya kutoshtakiwa kuanzia kwako mpaka kwa wasaidizi wako na spika wa bunge na jaji mkuu wote wawajibike ata kama walishatoka madaraani kwa makosa yenu ambayo mlisababisha Taifa eidha kupata hasara au kupolwa chochote.

ilo tu.
Upo sahihi sn
 
Wewe ndio unayemlaumu babu yako kwa sura yako mbaya sababu hakumchagua bibi mzuri zaidi...

Kwahio na hizo mali ambazo hawakuzifuja then wewe leo unazikuta na kuzifanyia udalali umewakumbuka kwa kiasi gani ?

hatuwezi kufanya kila kitu wenyewe, tunahitaji kushirikiana na wenzetu katika kufanya hizo exploitation.

Na
tunahitaji ushirikiano wenye win-win situation.
Na hili kufanikisha hilo ni lazima wataalam wafanye kazi yao, wanasiasa wakae pembeni.
nyerere ndio muasisi wa mfumo unaowaweka wanasiasa juu ya wataalam kupitia katiba yake aliyoiasisi inayotutesa mpaka kesho.
 
Then mnaambiwa mumkumbuke nyerere. Kwa katiba hii ya kipumbavu ??
Mzee aliharibu sana nchi hii , hastahili hata kukumbukwa.
Kwani Nyerere amewakataza msiandike katiba nyingine?. Mnamlaumu mtu aliyestaafu miaka 33 iliyopita na hayupo duniani. Mbona dhahabu mnachimba na kubinfsisha mashirika ya umma na hamlalamiki?
 
utabisha kwa maneno lakini sio kwa vitendo (which actually speak louder).

kwa sababu ya katiba ya nyerere , rais wa tanzania hapingwi, hakosolewi, hakosei, ndio mahakama, ndio bunge, ndio kila kitu.
Ujumbe unafika, TEC walitoa maoni kinga zitolewe
 
Kwani Nyerere amewakataza msiandike katiba nyingine?. Mnamlaumu mtu aliyestaafu miaka 33 iliyopita na hayupo duniani. Mbona dhahabu mnachimba na kubinfsisha mashirika ya umma na hamlalamiki?

kwa nini hamuandiki sasa?
 
Back
Top Bottom