October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Naona mpo na wasiwasi nyinyi wa bara.
Mitandaoni kila siku mnamjadili huyo mtoto wa Jumanne Kaseja. Eeh, huyo? Huyo hata kuwa Rais hata likifufuka jua kutoka magharibi.
Msiogope, jamani. Mwaijua Nungwi nyinyi? Hamuijui kabisa.
Hamuiijui hata kiduchu. Lakini shauri yenu. Mtajionea kwa macho yenu tena mapema sana kuanzia mwakani.
Hamtakimbia, hamsahau.
Yatakayokuja, yatajileta yenyewe kama bahari ya Hindi ikivuma kuja pwani.
Mnasikia wee? imeshaambia. Na bado