Ondoka ili ukue, uongezeke

Be careful. Siyo kila mabadiliko ni mabadiliko chanya.
 
Izo zote ni story tu mkuu hazina uhalisia wowote..!!
Kufanikiwa ni dhana pana sana inahusisha connections sahihi na juhudi…
 
Mkuu hii mada imenikukbusha mbali sana kweli kutokuhama sehemu uliyopo ama kuzaliwa unapishana na mafanikio mengi
Mfano mim mwaka 2016 nilikata hati ya kusafiria nilipewa mchongo wa fremu mtaa wa aggrey alienipa mchongo nishemeji yangu na fremu hiyo ilikua ya shemeji yake pia hawezi biashara nkashauriwa nihame mkoani nije hapo nichukue hiyo fremu nifanye biashara hiyo hiyo ya accessories na spare za sim,mim nikawa mzito kuhama na biashara nayofanya mkoani Huku ilikua hot sana Leo hii navozungumza aliechukua Ile frem nae alihama uko mkoani kwenda kufanya hiyo biashara katika hiyo hiyo frem ni anamafanikio makubwa sana kibiashara mtaji unaweza fika 1b+, na alienda na mtaji usiozid 150m baada ya Kodi ya frem
Nikaja pewa Tena mchongo nahuyo huyo shemeji yangu wa biashara ya laptop au underware mwaka 2018 nkawa mzito kuhama mkoa,nkaona fursa mapema 2012 ya cargo transport ambayo fursa ilinilazimu nihamie dar nkashindwa sababu Huku nilipo biashara ilikua imeshamiri sana na tukawa na changamoto ya transport
Now biashara Ile ile nayoifanya hapa nilipo mkoani nachukuliwa poa soko wateja ni wale wale maana nikawilaya ila supplier tumekuwa wengi faida inapunguzwa daily
 
Asante kwa ujumbe murua ambiereee
 
Ujumbe.mzuri sana huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…