Robert Heriel Mtibeli JF-Expert Member Joined Mar 24, 2018 Posts 28,297 Reaction score 68,017 Oct 18, 2021 Thread starter #21 safuher said: Huu uzi mzuri sana Click to expand... Pamoja Mkuu
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Oct 18, 2021 #22 Shadow7 said: hii imfikie yule jamaa mbishi Click to expand... Gwajima
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 21,741 Reaction score 26,735 Oct 18, 2021 #23 Bujibuji Simba Nyanaume said: Ndoto nyingine ni ngumu sana kuzielewa, nimeota Mama ametangaza kwenye mkutano wa hadhara kuwa anahamia upinzani. Click to expand... Uko sahihi kwani vyama vyote vina mpinzani, CCM ni mpinzani wa Chadema, ila ndoto yako inaweza kukutia matatani, kamuulize Lema.
Bujibuji Simba Nyanaume said: Ndoto nyingine ni ngumu sana kuzielewa, nimeota Mama ametangaza kwenye mkutano wa hadhara kuwa anahamia upinzani. Click to expand... Uko sahihi kwani vyama vyote vina mpinzani, CCM ni mpinzani wa Chadema, ila ndoto yako inaweza kukutia matatani, kamuulize Lema.
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Oct 18, 2021 #24 Shadow7 said: hii imfikie yule jamaa mbishi Click to expand... @ elvischirwa said: Uko sahihi kwani vyama vyote vina mpinzani, CCM ni mpinzani wa Chadema, ila ndoto yako inaweza kukutia matatani, kamuulize Lema. Click to expand... Kwani nimemuongelea mama gani? Au kila mama unayemjua wewe kila mtu anamjua?
Shadow7 said: hii imfikie yule jamaa mbishi Click to expand... @ elvischirwa said: Uko sahihi kwani vyama vyote vina mpinzani, CCM ni mpinzani wa Chadema, ila ndoto yako inaweza kukutia matatani, kamuulize Lema. Click to expand... Kwani nimemuongelea mama gani? Au kila mama unayemjua wewe kila mtu anamjua?