ONE currency pesa moja digital currency..ambapo hutaweza kununua wala kuuza

a sinner saved by Christ

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
4,014
Reaction score
4,600
1) ONE currency pesa moja digital currency..ambapo hutaweza kununua wala kuuza bila hiyo(micro chip --chapa ya mnyama 666 chapa ya shetani.

inaanza na kuanguka vibaya kwa US Petrol dollar

US dollar haitatumika tena kununulia petrol.

itatumika fedha mpya kwa itakayokubaliwa na muunganiko wa nchi kadhaa zilizoshikilia uchumi wa mafuta ya petrol na nguvu zilizo kinyume na US dollar.

Dhahabu itatumika mbadala wa fedha...utajiri wa nchi na thamani ya pesa ya nchi yoyote itathaminishwa na hifadhi ya hazina yake ya dhahabu iliyonayo

Ndio maana unaona kila nchi yenye akili ina kusanya dhahabu kwa wingi..kwa sababu huko mbeleni, makaratasi ya fedha yatakuwa hayana thamani naada ya US DOLLAR KUANGUSHWA VIBAYA SANA.

2) KITABU cha BIBLIA TAKATIFU na UKRISTO utapigwa marufuku na waumini wa KIKRISTO wataanza kipitia mateso ..ili waikane imani yao...dhiki kuu ..kama ulivyo ona naijeria ..wakristo na imani yao watakuwa prosecuted...

Kwa sababu imani ya KIKRISTO na BIBLIA inapingana kabisa na mipango yao yote yote ya kishetani..waliyoia jina kama maendeleo ya sayansi utandawazi teknolojia ,ukisasa na HAKI ZA KIBINADAMU

mfano sheria za mahusiano
1) USHOGA na ufiraji ..ndoa za watu wa jinsia moja UPINDE
yote wanayotaka kuyafanya yaliyo shambi biblia imeyakataza hivyo wataona hiyo imani ni kikwazo kwao.

DHIKI KUU

Vita vya tatu vya dunia,vita vya nyuklia,majanga ya kiasili,njaa,magonjwa,ukatili na maovu kuongeka

UNYAKUO WA WATAKATIFU UMEKARIBIA...mwenye kuvymilia hata mwisho mpaka mwisho ndiye atakaye okolewa.
 
Mhh

1775079436263.jpeg
 
Moja ya makosa/dhambi kubwa ambayo binafsi naiogopa ni kuhubiri ama kufundisha mafundisho nisiyo na uhakika nayo kwenye Biblia.

Kitabu cha Daniel na Ufunuo sio kitabu cha kukisoma tu kisha uje kuhubiri na kufundisha. Hata mimi zamani nilikuwa kama wewe Mkuu ila baadae nikaja kugundua kuwa ishu ya kubadilishwa kwa majira, mtu asiweze kununua wala kuuza bila chapa ya mnyama n.k viliwahi pia kutokea huko nyuma ktk utawala wa Kaisari wa Roma.

Wakati huu, dunia iko ukingoni kabisa katika unyakuo wa Kanisa, hayo masuala ya one currency, sijui petro dollar ni udanganyifu tu. Mambo ya rohoni ya ufunuo hayapo open kiasi hiko.
 
1) ONE currency pesa moja digital currency..ambapo hutaweza kununua wala kuuza bila hiyo(micro chip --chapa ya mnyama 666 chapa ya shetani.

inaanza na kuanguka vibaya kwa US Petrol dollar

US dollar haitatumika tena kununulia petrol.

itatumika fedha mpya kwa itakayokubaliwa na muunganiko wa nchi kadhaa zilizoshikilia uchumi wa mafuta ya petrol na nguvu zilizo kinyume na US dollar.

Dhahabu itatumika mbadala wa fedha...utajiri wa nchi na thamani ya pesa ya nchi yoyote itathaminishwa na hifadhi ya hazina yake ya dhahabu iliyonayo

Ndio maana unaona kila nchi yenye akili ina kusanya dhahabu kwa wingi..kwa sababu huko mbeleni, makaratasi ya fedha yatakuwa hayana thamani naada ya US DOLLAR KUANGUSHWA VIBAYA SANA.

2) KITABU cha BIBLIA TAKATIFU na UKRISTO utapigwa marufuku na waumini wa KIKRISTO wataanza kipitia mateso ..ili waikane imani yao...dhiki kuu ..kama ulivyo ona naijeria ..wakristo na imani yao watakuwa prosecuted...

Kwa sababu imani ya KIKRISTO na BIBLIA inapingana kabisa na mipango yao yote yote ya kishetani..waliyoia jina kama maendeleo ya sayansi utandawazi teknolojia ,ukisasa na HAKI ZA KIBINADAMU

mfano sheria za mahusiano
1) USHOGA na ufiraji ..ndoa za watu wa jinsia moja UPINDE
yote wanayotaka kuyafanya yaliyo shambi biblia imeyakataza hivyo wataona hiyo imani ni kikwazo kwao.

DHIKI KUU

Vita vya tatu vya dunia,vita vya nyuklia,majanga ya kiasili,njaa,magonjwa,ukatili na maovu kuongeka

UNYAKUO WA WATAKATIFU UMEKARIBIA...mwenye kuvymilia hata mwisho mpaka mwisho ndiye atakaye okolewa.
Wasabato mna mtindio wa ubongo.
 
Wasabato mna mtindio wa ubongo.
muda utaongea kadiri muda unavyozidi kusogea ndani ya hii miaka miwili mbele kuanzia sasa..hali itazidi kuwa mbaya daya by day ..ndio mwanzo wa utungu wa DHIKI KUU unyakuo utatoke muda wowote kuanzia sasa,dalili zote zimeshatimia.....hii dunia imefika ukomo...

changes zitatokea ghafla kwa wasiofahamu kusoma majira na alama na za nyakakati...itakuwa ghafla sana..

ila tunaofuatilia kalenda za kiroho...muda umefika ..time is over.
 
Ujinga mtupu,
 
wakati wa NUHU anatengeneza SAFINA pia watu walimuona kichaa,wengine walimdhihaki na wengine walisema ni ujinga mtupu...gharika ya mvua ilipoanza kunyesha bila kukatika usiku na mchana dakika za jioni ndio wakashtuka..

hali ya itaendelea kuwa mbaya day by day ...nyakati mbaya na ngumu zimesha anza duniani usifikiri hali ni shwari usifikiri hali imetulia .....hata vita vya dunia havijatulia...mpaka mpinga Kristo atakapo ibuka na suluhisho la uongo....baada ya unyakuo...DHIKI KUU...

haya yote yameshaanza kutokea sio future tena tuna ishi katika hizi nyakati zilizopo tayari..**SUBIRI UONE .mwaka huu huu...na mwaka ujao utakuwa mbaya kuliko huu..subiri ujionee mwenyewe...(muda utaongea)..hizi ndio nyakati za mwisho..

kwa sisi ambao tunaona mambo ya rohoni..tunaelewa..

vipofu wa rohoni hawawezi kuona yanayotokea mbele ya macho yao.
 
View: https://youtu.be/9co0eN5LubQ?si=eH-ZjU4EqPV228ex
 
Back
Top Bottom