One Incredible na Songa nani mkali?

One Incredible na Songa nani mkali?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Hawa majamaa nani zaidi ya mwingine?
 
INCREDIBLE!

Lyrical Genius!

Huwa namfananisha na Murs!!
 
Japo sio mtaalam wa kuchambua tunzi, one incredible na Songs wana flow tofauti so kila kila mtu yupo vzr kivyake. Songa tungo zake nyingi ni story wakati incredible yeye anachana tuu.
Ila mi namkubari incredible na ndiye anaefauata baada ya kingkong Ngosha ze Don FidQ kwa Tanzania.
 
aisee shilingi imesimama hapo,, wote nawakubali ila incredible namkubali sana kwa mitambao na midondoko.
 
fikisha salama kwa taifa kwamba songa ni usalama wa taifa Asee Songa mkaleez
 
Mziki umenipa kazi,Wasi wa nini??
Kwa kazi makini sipitwi na wenye kasiKazini..
Haha One Hatari
 
mkali songa mistar yke inatumia akl nying kuelewa km nymbo yk ya ndege
 
Songa ni solo mcee wee ni player njoo uchezee libolo fc....Songa

Mashairi yanarukaruka kama kuku mwenye mzuka kapuku ukileta zako nakunoa kama tupa....one wa miujizaaa

SOGA ZA MZAWA BY ONE
R.AP BY ONE
MATHEMATRIX BY SONGA ASSOCIATED WITH GHETTO AMBASODOR
Hizi ni moja ya album kali sana hapa bongo
 
Back
Top Bottom