matengongolo
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 305
- 103
Historia ya kupatwa songa ni
Tamasha la tamaduni muzik pale mbalamwezi kupatwa wasanii chupikizi wa kuflow ,katika tamasha(shindano) lile songa ndo aliibuka mshindi.
Songa ni nani
1.mc anaeflow hip hop
2.alitokana na shindano la tamadun muzik kuibua vipaji
3.ndiye mc ambaye mwanzoni walikuwa wanamwita new uno(one) ata yeye anakil ilo kwakuwa stail iliomtoa alikopy kwa one.
4.ni inspiration kutoka kwa one japo kwasasa kabadlika to story teller
Ie tofauti kati ya niite songa,utandatarymes vs mizinga na usiku.