Amrish Puri
JF-Expert Member
- Dec 11, 2016
- 274
- 379
usipoelewa jambo ujue halikuhusu....huelewi hip hop tega siko kwenye taarabu- young killerNdo kina nani hao?madiwan au wacheza soka?
Ww c mchele mchele utawajuaje Hawa maraiaHao jamaa huwa nasikia hapa JF tu..
ExactlyNgoma inaitwa Sisi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yeah kwan uongoA-list Emcees?
Kaka ngoma gani hiiWakali hawavumi tena wakiniona tu mchecheto
Wajuzi hawapati vema usela sio kupiga nyeto
Kipi ka sio lawama matoz wanataka beto (battle)
Mboga nane mtoto wa mama unajua nini kuhusu gheto
Nawamega kisela pole washika pembe
Nawapeleka jela kama ripoti za mwakyembe
ntapambana mpaka tone la mwisho la dam
Me ni m'babe niite paka panya wengi mnanifaham
One anajua kiasi kwamba ataNani mkali wa flow kati ya hawa A-list MCs in bongo
Yeah kwan uongo
I'm in the game playin in the winning teamAisee nikisikilizaga Debut ya one.....huwa nampaga salute sana!