One incredible vs stereo

One incredible vs stereo

Wakali hawavumi tena wakiniona tu mchecheto
Wajuzi hawapati vema usela sio kupiga nyeto
Kipi ka sio lawama matoz wanataka beto (battle)
Mboga nane mtoto wa mama unajua nini kuhusu gheto

Nawamega kisela pole washika pembe
Nawapeleka jela kama ripoti za mwakyembe

ntapambana mpaka tone la mwisho la dam
Me ni m'babe niite paka panya wengi mnanifaham
 
Kaka ngoma gani hii
 
Hawa wote ni mamc wakali sana ila one sio wa kumshindanisha na stereo, me nazani one anatakiwa kusimama na mamc kama nikki mbishi na fid q, sema tu one hajajikita sana kwenye muziki kama ilivo kwa nikki na fid q hawa wamekuwa wanakitoa nyimbo mara kwa mara, nakumbuka fid mwenyewe alishawahi kusema kuwa one sio mtu wa kawaida ni genius kwa kuangalia utunzi wake na flow
 
Back
Top Bottom