One of the best looking JDM whip

One of the best looking JDM whip

2TR ndo mpango mzima, mbaya sana waliacha kutengeneza Diesel tangu 2004
 
Badilisha hata nchi kidogo utembelee wamarekani , mbona SUV'S zipo nzuri kina Ford, Cadillac

Bila shaka kijapan utakuwa unakiongea vyema
Nazijua mzee ila naongea practically, kwenye ndoto mbona naiona Cadillac escalade bruh!
 
Surf ilitamba sana enzi za 1995 kuja juu, walipoitema wabongo, mpk leo naona imekosa market
Zile za diesel zilikuwa korofi sana kwenye maintanance halafu zikawa zikichoka zinakuwa hazitazamiki, ila hii ya petrol ni uhakika yani full umeme.
 
2TR ndo mpango mzima, mbaya sana waliacha kutengeneza Diesel tangu 2004
Za diesel zilikuwa korofi kwenyw maintanance. Humu 2TR ni mwendo wa shockup,brakes,ATF hydraulic, Filter na E. Oil! Zaidi ya hapo BF Goodrich tu
 
Hii gari naona haipendelewi sana na raia hapa town ila its one of the best looking car from Toyota. Looks sick when equipped with them 22"s.

Nikifika 40's i wish to be rolling on this one SUV. Toyota Hilux Surf!

View attachment 1655268
View attachment 1655269View attachment 1655270
Niliikuta pale jan international..yard yao jamaa ananambia 29m naichkua....nkapiga hesab na tako la nyan nkasema hiiiii....bei sawa tu..la nyani nayo ilikua 28 ila maongez yalikuepo.
 
Imekosa soko bongo au nje bongo mkuu?
Bongo mbona lipo sana hilo gari sema tu bei yake mkasi sana af cc kubwa ndio maana watu wanalikimbia. Uendeshaj na maintanance ni kama ya Prado tu.
 
Niliikuta pale jan international..yard yao jamaa ananambia 29m naichkua....nkapiga hesab na tako la nyan nkasema hiiiii....bei sawa tu..la nyani nayo ilikua 28 ila maongez yalikuepo.
Kuna jamaa yangu anataka aagize hilo sema bei yake beforward plus kodi value inagonga 32M
 
Hizi old model yake kila nnayoiona njiani naona nyuma kama vile shocks zimekufa. Baizawwee, nimekutana na Rav4 ya 2020 rangi ya blue STL, gari imesimamia kiatu.
 
So far thats a best looking Rav 4 toka naifahamu. Kuna uzi nilianzisha humu kipindi zinatoka tu nikawaambia wana but naona sahizi serikali ishaanza kuzinunua.
 
Kuna jamaa yangu anataka aagize hilo sema bei yake beforward plus kodi value inagonga 32M
Mwambie aende Jan international..namanga pale..wale jamaa kila kipind cha sikuku wana ofa ambazo huwez amin...akina fun cargo . Vi ractis had 6.5-7m unachkua..kila kitu hapo kasoro bima....zingne hiz..ndo kabisaa.we ushaona spacio inaenda had 9m sasa hzo kluger ilikua 16 na maongez yapo..sasa nadhan skukuu hii itashuka zaid....mi ni mteja wao mzur..nshafanya nao biz mara mbil ,,infact hakuna yard ina bei nzur dar kama jamaa..yard zingne wananunua gar kwa hawa jamaa wanaenda weka kwnye yard zao..sielew y..au jamaa hawalip kod nn...ni wa pakistan..yard zile za moroko kubwa kubwa ni wao..
 
Itabidi mie niende mkuu nikacheki nao! 29M ndio wameanzia au inaweza ikapungua kidogo. Huenda wazee tukaishi humo humo 😂😂😂
 
So far thats a best looking Rav 4 toka naifahamu. Kuna uzi nilianzisha humu kipindi zinatoka tu nikawaambia wana but naona sahizi serikali ishaanza kuzinunua.
hii ya 2020 nimeikubali sana... izo za nyuma zote nilikuwa nachukulia gari za wanawake 😀 ila hii mpya ipo kibabe sana. Serikali yetu huku SMZ kwenye segment hio ni Vitara na Rav4. Ikitoka new model wanayo tayari za zamani sijui wanarithishana ama vipi 😀
 
Yani kama upo akilini mwangu, na title ya ule uzi ilikuwa hio hio kuwa "hatimae Rav 4 wametengeneza gari yenye muonekano wa kiume" maana hii hata mie naweza nunua imekaa njema sana.
Watakuwa wanauzia watumishi kwa mnada😂
 
My next car bvro, T....EAA...nawashangaa wanaonunua tako ta nyani wanaacha hii machine. Ina 4WD matata sana hapo ndio waliponimaliza ukiacha muonekano wake
ishi humu
 
Itabidi mie niende mkuu nikacheki nao! 29M ndio wameanzia au inaweza ikapungua kidogo. Huenda wazee tukaishi humo humo [emoji23][emoji23][emoji23]
Inapungua...ndo muda wake huu...skukuu hiz..na wanakuaga na bahat nasibu...
 
Back
Top Bottom