One of the six NASA principals Isaac Ruto has switched to Jubilee Party

One of the six NASA principals Isaac Ruto has switched to Jubilee Party

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Posts
2,046
Reaction score
3,971
Former Bomet Governor Isaac Ruto, one of the six NASA principals, has switched allegiance to the Jubilee Party.

The fierce Jubilee critic who lost out to Governor Joyce Laboso in the race for Bomet County’s leadership was in the company of Johanna Ngeno of KANU and Deputy President William Ruto at Kapkatet, Kericho County where they received President Kenyatta ahead of a rally.

RutoUhuru.jpg

Since the advent of devolution, the fiery Bomet County ex-Governor Ruto has been a thorn in the flesh of the Deputy President Ruto after fomenting political rebellion in the vote-rich Rift Valley.

However, the rebellion did not bear much fruit following defeats in the Kericho Senate by-election in which Governor Ruto rooted for a KANU candidate Paul Sang.

NASA REACTION
National Super Alliance has, however, dismissed Ruto’s defection as inconsequential insisting it will win the upcoming fresh presidential vote without his input.

“If indeed he has left the formation, then karma has a way of dealing with people.

“We as a coalition are unshakeable; and what I am certain is that we will emerge victorious in the October 17 presidential vote with or without his input. His perceived departure, if true, does not subtract a single vote from us,” said Norman Magaya, the NASA Secretariat Chief Executive Officer.

SOURCE: Citizen Kenya
 
Huyu isack ruto ni political prostitute ningekua uhuruto ningemwaga!
 
Huyu isack ruto ni political prostitute ningekua uhuruto ningemwaga!

Usidanganywe na mtu kwamba kuna mwanasiasa yeyote asiyekua malaya wa kisiasa, wote hao.
Yaani sisi raia wa kawaida na ujinga wetu ndio huwa tunacharangana mapanga ilhali wale maisha yao wanajua jinsi ya kutetea maslahi yao.
Juzi yule wa kutokea Meru bwana Munya alipohama Jubilee na kwenda NASA, watu walishabikia balaa humu, sasa huyu amewaondoka, mtakufa bure kwa presha za hawa watu.
 
Hapo umenena ukweli mtupu, ubarikiwe sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunamkaribisha sana Jubilee, its never too late! Vile vyeo gushi, sijui Chief Premier Cabinet Secretary ambavo walikuwa wampe kwenye serikali ya NASA amegundua zilikuwa ni ndoto za mchana bana!
 
Nilianza kuona dalili alipoanza kudai atakuwa bodaboda driver nikajua anatafuta pa kuingilia Jubilee. Hela aliyopewa haitakuwa ndogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
khaaa kweli safari ya Canaan bado sana maana mfuasi nguli kama Ruto amesepa basi kazi ipo..alikua point man wa Nasa Bonde la Ufa kuhama kwake ni pigo
 
Hata miezi sita imepita kweli?
Saiyo kuna jamaa mbili zilipigana huko rift valley kwasababu ya rutto kutoka Jubelee kwenda NASA.... Sasa amerudi Jubelee bila aibu, kuna raia ni kuguru sahii, bado hali yake ya maisha iko pale pale...... Kesho raiya huyo huyo kiguru utamuona anagongana na watu wa kutoka mrengo mwengine wa siasa... Bure kabisa!
 
Haha ,it doesn't pay off to be contrarian in Jubilee zone but it paid off well to be contrarian in NASA zones.Hii ni kusema Munya ameingia gizani na Ruto ameona nuru.

Wote hawa wawili wajue there's two kinds of light - the glare that obscures and the glow that illuminates ...Munya ameona tu ile ya kwanza.
 
Usidanganywe na mtu kwamba kuna mwanasiasa yeyote asiyekua malaya wa kisiasa, wote hao. Yaani sisi raia wa kawaida na ujinga wetu ndio huwa tunacharangana mapanga ilhali wale maisha yao wanajua jinsi ya kutetea maslahi yao. Juzi yule wa kutokea Meru bwana Munya alipohama Jubilee na kwenda NASA, watu walishabikia balaa humu, sasa huyu amewaondoka, mtakufa bure kwa presha za hawa watu.
Safi sana, tena wale mashabiki wangeshuhudia huku kwetu jinsi kina Tundu, Zitto na Mbowe walivyokuwa wakijichanganya na kupiga strory na kina Makinda na wengine wa CCM! Bungeni wako kikazi, sasa upinzani wanaonekana kuonyesha yale sisi vs wale, kumbe ni show tu, hakuna cha kujali raia wala nini! Ila raia tumebweteka, twafikiri hata uraiani wako hivyo hivyo! Bure kabisa sisi...
 
Haha ,it doesn't pay off to be contrarian in Jubilee zone but it paid off well to be contrarian in NASA zones.Hii ni kusema Munya ameingia gizani na Ruto ameona nuru.

Wote hawa wawili wajue there's two kinds of light - the glare that obscures and the glow that illuminates ...Munya ameona tu ile ya kwanza.
Napendaga Kiswahili hyenu ya Kenya, utafikri ni ile tu ya Mwala!!
 
khaaa kweli safari ya Canaan bado sana maana mfuasi nguli kama Ruto amesepa basi kazi ipo..alikua point man wa Nasa Bonde la Ufa kuhama kwake ni pigo
Ndio maana local mañ Raila anatoa povu eti Uhuru ajiuzulu Urais, sijui kwann ajiuzulu

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Back
Top Bottom