Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Kupata malighafi kwa Tz ni gharama kuliko kuagiza kutoka nje, hata vile vya wachina kule mkuranga malighafi wanaagiza china.Kuruhusu ule ujenzi maana yake tumeruhusu Tanzania kuwa dampo la bidhaa za China.
Wachinà walipaswa anzisha viwanda ili kukabiriana na upungufu wa ajira.