ONESHA MAPENZI YAKO KWA YANGA

ONESHA MAPENZI YAKO KWA YANGA

hiram

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
266
Reaction score
393
download wimbo wa mzee wa Bwax NAIPENDA YANGA kisha ujipige jichuukue video ukiwa unaucheza kisha tupia instagram, youtube, snap chat na kokote kwingineko kama hawa wakongo walivyofanya kwenye wimbo wao bana congo na
 
Sawa mkuu, tutafanya hivyo
52179405_232241547593798_6990687787476782594_n.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata waseme nini mwenzenu sihami
Timu haina hela lakini sihami
Tunatembeza bakuli we yanga sihami 🎶🎶🎶🎶

Naipenda Yangaa
Shadeeya Yangaaaa. 💃💃💃💃
 
download wimbo wa mzee wa Bwax NAIPENDA YANGA kisha ujipige jichuukue video ukiwa unaucheza kisha tupia instagram, youtube, snap chat na kokote kwingineko kama hawa wakongo walivyofanya kwenye wimbo wao bana congo na
Mzee wa bwax ndyo Nani?
 
Back
Top Bottom