Nachukua fursa hii kutafuta mdau mmoja mwenye dhamira ya kuendesha biashara ya daladala, aungane nami akichangia gharama za uendeshaji tukiwa na makubaliano ya kugawana mapato. Mie Nina miliki daladala hapa DSM, hatahivyo gari husika inahitaji marekebisho kidogo ingawa mashine ipo vizuri. Aliye tayari kuungana nami kwenye biashara hii, tafadhali tuwasiliane ili tupeane maelezo kwa kina