Ongeza nguvu tuweze kujikwamua kuuchumi, tupunguze umaskini

Ongeza nguvu tuweze kujikwamua kuuchumi, tupunguze umaskini

MAFILILI

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
2,377
Reaction score
1,197
Nachukua fursa hii kutafuta mdau mmoja mwenye dhamira ya kuendesha biashara ya daladala, aungane nami akichangia gharama za uendeshaji tukiwa na makubaliano ya kugawana mapato. Mie Nina miliki daladala hapa DSM, hatahivyo gari husika inahitaji marekebisho kidogo ingawa mashine ipo vizuri. Aliye tayari kuungana nami kwenye biashara hii, tafadhali tuwasiliane ili tupeane maelezo kwa kina
 
Galama bei gani aje nayo kwa matengenezo??
 
Wewe unamiliki dala2 unakosa 1.5m hakika hiyo sio biashara.
Msingi wa ombi langu ni kukusanya nguvu za uendeshaji kupitia MBIA, jitahidi upanuke kimawazo uweze kutumia fursa husika. Jiongeze mtz mwenzangu kuwa na fikra chanya ili tusonge mbele.
 
Back
Top Bottom