Ongezea hapa: Sifa 8 za wadada wembaba kwenye mapenzi

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
1. Visirani sana na hii inatokana na kutokua na mzigo ( kufungasha)

2. Unaweza ukawatumia nauli alafu kuja magetoni changamoto, Ni wajanja sana

3. Wanapenda zawadi za kitoto kama Pizza, Chocolate, Ice cream, Burger

4. Wakati wa kumpelekea Moto achelewi kusema eti anaumia

5. Wanapenda sana kutumiwa na yakutolea

6. Simu zao kubwa ni tecno Infinix, uwezi kuta Pisi nyembaba inatumia iphone

7. Kila sherehe anataka avae kijora kipya ole wako sasa usimnunilie

8. Ukimuita peke yake Restaurant au Bar yeye anakuja na shoga zake uku wamevaa vijaro utazania kuna mtu anaenda kuchambwa

NB😱ngezea Sifa za hizi pisi nyembamba kwenye mapenzi

Aya sasa Pisi nyembaba nasubilia mapovu yenu [emoji23]
FB_IMG_16555274687199969.jpg
 
1. Visirani sana na hii inatokana na kutokua na mzigo ( kufungasha)

2. Unaweza ukawatumia nauli alafu kuja magetoni changamoto, Ni wajanja sana

3. Wanapenda zawadi za kitoto kama Pizza, Chocolate, Ice cream, Burger

4. Wakati wa kumpelekea Moto achelewi kusema eti anaumia

5. Wanapenda sana kutumiwa na yakutolea

6. Simu zao kubwa ni tecno Infinix, uwezi kuta Pisi nyembaba inatumia iphone

7. Kila sherehe anataka avae kijora kipya ole wako sasa usimnunilie

8. Ukimuita peke yake Restaurant au Bar yeye anakuja na shoga zake uku wamevaa vijaro utazania kuna mtu anaenda kuchambwa

NB😱ngezea Sifa za hizi pisi nyembamba kwenye mapenzi

Aya sasa Pisi nyembaba nasubilia mapovu yenu [emoji23]View attachment 2350133
Wanapenda kyepe yai a.k.a zege hao... balaa
 
Mseme yote , ila vyembamba vinakuaga visafi bhana !!! Halafu ukakitunza vizuri ukakiweka ndani kikanona kidogo vinapendeza kila nguo !
Hivichoki haraka kwa sababu ya wepesi hata Aging yao sio kama ya matukunyema !! Nasimama na vishada leo 😃😃
 
Mseme yote , ila vyembamba vinakuaga visafi bhana !!! Halafu ukakitunza vizuri ukakiweka ndani kikanona kidogo vinapendeza kila nguo !
Hivichoki haraka kwa sababu ya wepesi hata Aging yao sio kama ya matukunyema !! Nasimama na vishada leo [emoji2][emoji2]
Kabisa mkuu.....Hawa mabonge utaskia Mara jipimie....
Mara nimechoka.....taabu tupu[emoji23][emoji23]
 
Mkuu wana bonge la canal yan mpka unashangaa linatokea wapi wakati wembamba kuanzia chini mpaka juu
Hili tulijadili ki physics

Nadhani Kuna ile nadharia ya " small area.......large pressure [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom