Ongezea hapa: Sifa 8 za wadada wembaba kwenye mapenzi

Ongezea hapa: Sifa 8 za wadada wembaba kwenye mapenzi

1. Visirani sana na hii inatokana na kutokua na mzigo ( kufungasha)

2. Unaweza ukawatumia nauli alafu kuja magetoni changamoto, Ni wajanja sana

3. Wanapenda zawadi za kitoto kama Pizza, Chocolate, Ice cream, Burger

4. Wakati wa kumpelekea Moto achelewi kusema eti anaumia

5. Wanapenda sana kutumiwa na yakutolea

6. Simu zao kubwa ni tecno Infinix, uwezi kuta Pisi nyembaba inatumia iphone

7. Kila sherehe anataka avae kijora kipya ole wako sasa usimnunilie

8. Ukimuita peke yake Restaurant au Bar yeye anakuja na shoga zake uku wamevaa vijaro utazania kuna mtu anaenda kuchambwa

NB😱ngezea Sifa za hizi pisi nyembamba kwenye mapenzi

Aya sasa Pisi nyembaba nasubilia mapovu yenu [emoji23]View attachment 2350133
Ww unakutana na wale wadada wembamba wa kiswahil....sio sisi wa geti kali
 
Habari yako ndugu,

Pongezi kwa nakala nzuri yenye mawaidha na tija kwa jamii. Hakiki kila mmoja ni kioo cha jamii yake.

Ndugu, nikiamini katika uchakataji wako wa mambo na uwezo wako wa fikra na ubunifu, naomba ukipendezwa, nipate kura, mawazo au mapendekezo yako juu ya nakala ihusuyo:-


Ahsante!!
Kura inapigwa vp mkuu
 
Mtoa mada kapigwa na kitu chenye ncha Kali kichwani na demu wake huko Sasa amekuja humo kuwapondea mademu wenye muokano sawia na wa demu wake.Upuuzi upuuzi tu.
 
Mtoa mada kapigwa na kitu chenye ncha Kali kichwani na demu wake huko Sasa amekuja humo kuwapondea mademu wenye muokano sawia na wa demu wake.Upuuzi upuuzi tu.
Mimi sijawahi achwa mkuu......ila mm ndio nawatesa
 
Back
Top Bottom