KoffiYardley
Senior Member
- Dec 2, 2021
- 144
- 173
Wamesema wengi kuhusu ongezeko la UJINGA uliokithiri miongoni ndani ya jamii yetu, Tanzania. Sijui ni vipimo gani vimehusishwa na hilo. Ila tunao usemi ule kwamba lisemwalo na wengi laweza kua kweli, hata kitakwimu hii inakubalika ... yale ya normal distribution kuhusu data za collective imbecilization. Najikita kwenye UPUMBAVU wa WADINI na pia UKABILA. Kukumbatia upumbavu huu ni majanga, ukiacha ukweli kuhusu ujinga uliomo ndani yake. Dawa yake ni katiba mpya inayoweka mistari bayana kuhusu haya mambo. Bila hiyo iko siku tutajutia upofu wetu. Nawasilisha