Ongezea zako: Timu ambazo ni ngumu kukuta mchezaji mweusi

Argentina hii ndio yenyewe
Waliuwaga weusi wengi zamani

Spain saivi kina ansu fati wameanza kuonekana

Kama waliuwa ndio tusishabikie! Acheni mambo ya kuhadthiwa, wewe hapo ukiulizwa ulikuwepo wakati wanauliwa utajibuje! Huna uhakika sio!! Ila umejisomea kijitabu kilichotungwa na binadamu mwenzio eti.


Inawezekana pia hata hayo matimu yaliyojaza machotara kama vile peru, Ecuador, brazili n.k yalifanya biashara ya utumwa, waafrika walipelekwa huko kufanyishwa kazi wakazaliana ndio hao machotara wakina gaucho, ronaldo, valencia n.k wakapatikana. Huu ni mtazamo wangu.
 
Timu ambazo huwezi kukuta wazungu:
Tanzania
Kenya
Uganda
Ghana
Nigeria
S. Sudan
Zambia
Uzi tayari.
Hizi zote ni nchi za Kiafrika, haiwezekani kabisa kumkuta Mzungu. Tofautisha kati ya 'white' na 'European'. Ngolo Kante, Kilian Mbappe, Romelo Lukaku wote hawa ni wazungu (Europeans), ingawa ni weusi.
 
Sijazungumzia hizo timu mm nimezungumzia timu ambazo ni ngumu kukuta mchezaji mweusi

Nicolas maidana, Argentina player.....ni wa rangi gani? Ebu ingia google umcheki vizuri.

Au unataka tushabikie timu kwa vigezo vya coloured sio! Mf ufaransa, uingereza n.k!!!! Ambazo hazina weusi tuachanenazo sio!!!! Mimi apa ni Argentina mzee, ni shabiki mkubwa wa Argentina kuliko ata timu lako la taifa stars.
 
Kitendo walichofanya Argentina kinasikitisha aisee

Wewe endelea na timu lako la weusi, tuache na Argentina yetu sawa bwana!!


Hata kama wameuwa ingawa hakuna ushaidi wowote wa hayo, kwangu mimi haijalishi, so nitaendelea kushabikia Argentina. Wewe Baki na timu lako lako la weusi, ikiwezekana na israeli kashabikie.
 
Wapi nimesema usiishabikie mkuu?
Argentina waliuwa weusi full stop..!

Na hao weusi wengine wametokana na slave trade wala hujakosea.. Na hiyo slave trade wewe umejua wapi? Ulikuwepo?
 
Wapi nimesema usiishabikie mkuu?
Argentina waliuwa weusi full stop..!

Na hao weusi wengine wametokana na slave trade wala hujakosea.. Na hiyo slave trade wewe umejua wapi? Ulikuwepo?

Wameuwa weusi, je! Una ushahidi, au ulikuwepo kwenye tukio hilo!!!!
 
Walitokana na biashara ya utumwa
Je una ushahidi wa macho yako mwenyewe ulikuwepo?

Nikuulize wewe hapo, unaposema wameuwa watu weusi......je! Ulikuwepo? Au umesimuliwa tu kwenye vijiwe vya kahawa n.k! Maana humu wafuata upepo wengi tunao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…