Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Mbona hamsemagi team za afrika kuwa na mchezaji wakizungu,
Mfano tz, Malawi, kenya
Waje wajibu hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hamsemagi team za afrika kuwa na mchezaji wakizungu,
Mfano tz, Malawi, kenya
Uzi kweli.. 😂 😂 😂 😂 😂Timu ambazo huwezi kukuta wazungu:
Tanzania
Kenya
Uganda
Ghana
Nigeria
S. Sudan
Zambia
Uzi tayari.
Inategemea ni team ya aina gani ya mchezo.Hahha yani waafrika mindset zetu ndio anguko letu, ila nchi nyingi afrika hazina wazungu ila hilo sio tatizo ila sisi sasa...
Italy
Argentina
Spain
Iceland
Croatia
Turkey
Ongezea zako
Mutu nyuesi tunajipa umuhimu sana😂Vipi timu ambazo huwezi kukuta mzungu
Karibu team zote za Afrika hizi za taifa hakuna mchezaji mweupe ukitoa South Africa jamaa haoni hilo...Lengo la mleta mada ni kuonyesha kua kuna nchi wachezaji weusi hawapewi nafasi,
Mbona hujiulizi nchi ambazo hazina watu weupe kwenye team zao?
Vipi timu ambazo huwezi kukuta mzungu
Ndo tatizo gani Hilo mkuu?Mleta mada unasumbuliwa na tatizo la Racial discrimination.
Argentina hii ndio yenyewe
Waliuwaga weusi wengi zamani
Spain saivi kina ansu fati wameanza kuonekana
Hizi zote ni nchi za Kiafrika, haiwezekani kabisa kumkuta Mzungu. Tofautisha kati ya 'white' na 'European'. Ngolo Kante, Kilian Mbappe, Romelo Lukaku wote hawa ni wazungu (Europeans), ingawa ni weusi.Timu ambazo huwezi kukuta wazungu:
Tanzania
Kenya
Uganda
Ghana
Nigeria
S. Sudan
Zambia
Uzi tayari.
Sijazungumzia hizo timu mm nimezungumzia timu ambazo ni ngumu kukuta mchezaji mweusi
Kitendo walichofanya Argentina kinasikitisha aisee
Wapi nimesema usiishabikie mkuu?Kama waliuwa ndio tusishabikie! Acheni mambo ya kuhadthiwa, wewe hapo ukiulizwa ulikuwepo wakati wanauliwa utajibuje! Huna uhakika sio!! Ila umejisomea kijitabu kilichotungwa na binadamu mwenzio eti.
Inawezekana pia hata hayo matimu yaliyojaza machotara kama vile peru, Ecuador, brazili n.k yalifanya biashara ya utumwa, waafrika walipelekwa huko kufanyishwa kazi wakazaliana ndio hao machotara wakina gaucho, ronaldo, valencia n.k wakapatikana. Huu ni mtazamo wangu.
Wapi nimesema usiishabikie mkuu?
Argentina waliuwa weusi full stop..!
Na hao weusi wengine wametokana na slave trade wala hujakosea.. Na hiyo slave trade wewe umejua wapi? Ulikuwepo?
Walitokana na biashara ya utumwaWameuwa weusi, je! Una ushahidi, au ulikuwepo kwenye tukio hilo!!!!
Mbona nyie mlimuua Zelewinsky?Argentina hii ndio yenyewe
Waliuwaga weusi wengi zamani
Spain saivi kina ansu fati wameanza kuonekana
Walitokana na biashara ya utumwa
Je una ushahidi wa macho yako mwenyewe ulikuwepo?