Fabio santolo
JF-Expert Member
- May 21, 2021
- 321
- 241
kumbe nabishana na tahiraNikuulize wewe hapo, unaposema wameuwa watu weusi......je! Ulikuwepo? Au umesimuliwa tu kwenye vijiwe vya kahawa n.k! Maana humu wafuata upepo wengi tunao
Hivi hua ni waafrika au watu weusi? au watu wote weusi ni kutoka Afrika? nieleweshe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
team ya sasa
wazungu 12
waafrika 14
Na wao walimpoteza mkwawa na wakadai kajiuaMbona nyie mlimuua Zelewinsky?
Kwa hiyo hamna kusema Argentina waliua weusiNa wao walimpoteza mkwawa na wakadai kajiua
Kusema kwamba msiseme Argentina wameua watu weusi hilo umetamka weweKwa hiyo hamna kusema Argentina waliua weusi
Nani ambaye hakuua?Kusema kwamba msiseme Argentina wameua watu weusi hilo umetamka wewe
Waliuwa kweli na lazima lisemwe
Umeniwahi sana.Italy - Balotelli
Spain - Marcos Cena
Nimeshawahi kuwaona hao.
SpainItaly
Argentina
Spain
Iceland
Croatia
Turkey
Ongezea zako
German, Ufaransa na Uingereza ni timu ambazo huwezi kukosa mchezaji asiye na asili ya Ujerumani.Yea timu nyingine ambayo inakosa weusi ni German angalau kipindi hichi Sane, Gnabry na wengine wameongeza idadi.
Katika timu ambayo nilifikiri haitakua na mchezaji mweusi halafu nikawaona wengi ni Israel.
Hata sasa hivi Under 20 yetu ina wazungu wawili.Hivi vitoto wachina wanavyovizaa kwenye miradi mbali mbali hapa Tanzania unategemea badae vitachezea nchi gani?
Ligi zao huitwa ligi za kibaguzi na haziwezi kuwa na mvuto wowote Kama hakuna wachezaji wenye asili ya kiafrikaItaly
Argentina
Spain
Iceland
Croatia
Turkey
Ongezea zako
Hapo kwa Spain hata Adama Traore ni mwafrika mweusi, uraia tu ndio SpainItaly yupo Ogbonna asili Nigeria
Spain yupo Moriba mweusi amecheza under 17 mwaka jana.
Argentina waliuua watu weusi..hao wengine huwezi kukuta mweusi ingawa Iceland wapo watu wa west Africa muda sio mrefu machotara wataonekana.
Nani kalaumu?Pia mkumbuke Kuna nch kibao tu hazina wa Asia ivi waafrica alie tufundisha kulaum Nan??
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
FootballMchezaji wa mchezo gani hasa, mbona sijaelewa
Marcos Cena alifanana na BONNY (RIP)Italy - Balotelli
Spain - Marcos Cena
Nimeshawahi kuwaona hao.