Ongezea zako: Timu ambazo ni ngumu kukuta mchezaji mweusi

Ongezea zako: Timu ambazo ni ngumu kukuta mchezaji mweusi

Spain wenyewe kwa wenyewe wanabaguana,kama huchezi league ya Spain ni vigumu sana kuitwa timu ya taifa,labda uwe fundi hasaaaaa
 
Nikuulize wewe hapo, unaposema wameuwa watu weusi......je! Ulikuwepo? Au umesimuliwa tu kwenye vijiwe vya kahawa n.k! Maana humu wafuata upepo wengi tunao
kumbe nabishana na tahira
Na pia umesema hata weusi wengine huko Bolivia, Brazil nk wametokana na slave trade.. Sasa umejuaje?ulikuwepo eneo la tukio?
Jitambue mmatumbi wewe
 
Yea timu nyingine ambayo inakosa weusi ni German angalau kipindi hichi Sane, Gnabry na wengine wameongeza idadi.

Katika timu ambayo nilifikiri haitakua na mchezaji mweusi halafu nikawaona wengi ni Israel.
German, Ufaransa na Uingereza ni timu ambazo huwezi kukosa mchezaji asiye na asili ya Ujerumani.

2010 German walikuwa na Jerome Boateng na Cacau.

2014 Jerome Boateng na Sami Khedira(Tunisia) na waturuki wawili

2018 Jerome Boateng, Rudiger

2021 wanao wengi zaidi kuliko 2018.
 
Italy
Argentina
Spain
Iceland
Croatia
Turkey

Ongezea zako
Ligi zao huitwa ligi za kibaguzi na haziwezi kuwa na mvuto wowote Kama hakuna wachezaji wenye asili ya kiafrika

Zitabakia hivo hivo huku ligi ya uingereza ikiendelea kupepea kimataifa
 
Hahahahaha mtu mweusi wa Africa anataka akakipige kwenye mataifa ya ngozi nyeupe
ajabu kwenye mataifa mengi ya ngozi nyeusi Africa hakuna ngozi nyeupe ya ulaya inayokipiga na wala sio tatizo kwaooo
 
Mchezaji wa mchezo gani hasa, mbona sijaelewa
 
Italy yupo Ogbonna asili Nigeria

Spain yupo Moriba mweusi amecheza under 17 mwaka jana.

Argentina waliuua watu weusi..hao wengine huwezi kukuta mweusi ingawa Iceland wapo watu wa west Africa muda sio mrefu machotara wataonekana.
Hapo kwa Spain hata Adama Traore ni mwafrika mweusi, uraia tu ndio Spain
 
Back
Top Bottom