Bonny yupi?
TanzaniaVipi timu ambazo huwezi kukuta mzungu
Ongeza kile "kibaba" Adama Traore wa Wolves ambaye anachezea Spain kwa sasa.Italy - Balotelli
Spain - Marcos Cena
Nimeshawahi kuwaona hao.
Russia..
Kuna mmoja ingekuwa ni huku kwetu basi angeitwa "white" ila wamisri walimwandama kutokana na rangi yake mpaka akaachana na timu ya taifa.Italy
Argentina
Spain
Iceland
Croatia
Turkey
Ongezea zako
Alikuwa half cast siyo mzungu pure.Peter Odemwigie alikua national team ya Nigeria
russia hawajai na hawatawai hakuna warusi weusiRussia..
tanzania na ugandaVipi timu ambazo huwezi kukuta mzungu
Jamaa wana ubaguzi sana, nasikia kuna president mmoja wa Argentina aliwahi kusema "Many American countries have black people, but in Argentina we don't have that problem" means kuwa na MTU mweusi ni tatizo.Argentina hii ndio yenyewe
Waliuwaga weusi wengi zamani
Spain saivi kina ansu fati wameanza kuonekana
Waliwaua ama walifanya ama kulazimisha intermarriage ili kuondka Ile race ya black.Argentina hii ndio yenyewe
Waliuwaga weusi wengi zamani
Spain saivi kina ansu fati wameanza kuonekana
Ukituangalia vizuri na yale mambo tunafanya utagundua kuna ukweli flanJamaa wana ubaguzi sana, nasikia kuna president mmoja wa Argentina aliwahi kusema "Many American countries have black people, but in Argentina we don't have that problem" means kuwa na MTU mweusi ni tatizo.