Ongezea zako: Timu ambazo ni ngumu kukuta mchezaji mweusi

Ongezea zako: Timu ambazo ni ngumu kukuta mchezaji mweusi

Duh !!! Aisee...

Bongo timu ya Taifa tuna wazungu au wahindi wangapi, au waarabu au na sisi ni wabaguzi ?
 
Argentina hii ndio yenyewe
Waliuwaga weusi wengi zamani

Spain saivi kina ansu fati wameanza kuonekana
Jamaa wana ubaguzi sana, nasikia kuna president mmoja wa Argentina aliwahi kusema "Many American countries have black people, but in Argentina we don't have that problem" means kuwa na MTU mweusi ni tatizo.
 
Ukituangalia vizuri na yale mambo tunafanya utagundua kuna ukweli flan

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom