Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
ONGEZEKO LA 23.3% NI KWA WATUMISHI WOTE AU ASILIMIA INASHUKA MSHAHARA UNAVYOPANDA!?
Leo 12:15 hrs 15/05/2023
Tangazo la kuongeza mshahara la Zanzibar,Kenya na Uganda vs tangazo la kuongeza mshahara Tanzania bara "Tanganyika" kuna maana mbili tofauti,Zanzibar,Kenya na Uganda wametangaza kuongeza mshahara kwa watumishi wote wa Umma bila kujali kima cha juu,cha kati au cha chini ila Tanzania bara (Tanganyika) imetangaza kuongeza mshahara nanukuu " Nyongeza ya mishahara kwa watumishi wa Umma ikiwemo kima cha chini kwa 23.3%" neno "ikiwemo"sijui tunalitafsiri vipi!?
Kwa maoni yangu tafsiri inaweza kuwa hii labda mwandishi atutafsirie
1. Rais amekubali kuongeza mshahara kwa kiasi ambacho bado hakijawekwa wazi na ameongeza pia kima cha chini kwa 23.3%
2. Rasi amekubali kuongeza mshahara na kima cha chini kwa 23.3%.
-kila Mtumishi kuongezewa "flat rate"
Kama Kima cha chini cha mshahara ni laki tatu itakuwa hivi 300,000 × 0.23 = 69,000.
Kwa hiyo watumishi wote wa serikali wataongezewa 69,000 kwenye mishahara yao.
Kwa aliyekuwa analipwa
500,000+ 69,000 =569,000
600,000+69,000=669,000
700,000+69,000=769,000
1,000,000+69,000=1,069,000
Hivyo ndivyo flat rate kwa maana mishahara yote itapanda kwa ngazi zote.
-Asilimia inashuka mshahara unavyopanda (Diminishing rate upwards)
Tafsiri nyingine ni hii ya Diminishing rate upwards yaani asilimia kushuka kadri mshahara unavyopanda,nayo itasomeka hivi mwenye mshahara ghafi wa 270,000/= akiongezewa 23.3% anayefuata wa 320,000 atapata nyongeza ya chini kati yake na aliyemfuatia kwa tofauti ya 5% au zaidi kulingana na maamuzi ya fedha iliyotolewa Trilioni 1.5 kwa hiyo mtiririko utakuwa hivi anayepata kima cha chini atapata nyongeza ya 23.3% wa mshahara wa juu yake 23.3% itapunguzwa 5% au zaidi itakuwa 18.3% au chini ya 18.3% itaenda hivi kwa kwenda kima cha juu na mwenye mshahara mkubwa zaidi atapata 0.001% limit
Kwa kawaida mshahara huongezwa kwa kuzingatia kima cha chini,maana yake mtu wa kima cha chini anaongezewa asilimia kubwa ili kupunguza gap ama utofauti uliopo kkati yake na kima cha juu,kwa hiyo kama kima cha chini anapewa asilimia 23.3 wa juu yake atapunguziwa asilimia fulani, fomula inaenda hivyo hivyo hadi wa daraja la mwisho,kwa mantiki hii ni kwamba mtu anaepokea let us say 250,000*0.233 =58,250 then wa juu yake asilimia itashuka kidogo kwa hiyo pesa itakayoongezeka itakua kiasi kutofautisha na wa kima cha chini mfano anapokea 350,000*0.183= 64,050 na kuendelea.
kwa mantiki hii watumishi wote lazima wataona badiliko katika mishahara yao,na nyongeza haiwezi kua flat rate!
Pengine tumechanganywa kwa kutojua formula za kimahesabu ama tumechanganywa kwa kiswahili,kwa kutumia diminishing rate upwards basi mshahara haujaongezwa kwa asilimia 23.3%! Serikali imekubali ongezeko la mshahara kwa 23.3% kwa kima cha chini! maana yake kwamba kama kila cha chini kilikuwa laki tatu(300,00) inamaan itaongeza 23.3% kwa kima hicho cha chini na kuwa kama 369,000/,=kwa maana hiyo 69,000/= ndo ongezeko kwa ngazi hiyo ya chini si kwa ngazi nyingine! sio kuwa mshahara umepanda kwa asilimia 23.3% kwa wafanya kazi wote hapana!
Nikupe mfano wa kima cha chini kwa uhalisia kupata "take home" atayochukua kwenda nayo nyumbani;-
Fomula ya kukokotoa asilimia 23.3% ya kima cha mshahara ipo hivi.
kima cha chini cha mshahara ni 300000.
23/100x300000=69,000/= hivyo 69000-18% ya makato yote utaona umeongezewa sh.ngapi?
18/100x69000=12420.
Sasa 69000-12420=56580.
hivyo basi nyongeza ya mashahara ni 56580 kwa kila mtumishi.
-Nikufariji mwokozi yangu Mwalimu uliyeniinua kutoka kuwa "ngumbaru" hadi kuja kukukokotea hapa,
Big up kwa Walimu wote! Tufanye ongezeko ni "flat rate" labda mshahara wako ni 940,000 sasa nikupe picha ukiwa ndotoni,
Basic salary yako itakuwa hivi.
940,000 + (940,000 x 23.3%) = 1,159,020
kutokea hapo sasa utakata
NHIF
PSSF
CWT/ TALGWU etc
PAYE nk
- Mfano hai sasa.
Basuc Salary... 1,159,020
PSSF 5% (57,951)
INCOME TAX (128,000 + (101,069 × 30%)) = (158,320.7)
NHIF 4% ..............
TALGWU/CWT 5% ..............
Kwa kikokotoo hicho naamini utakuwa umejua "take home yako" Mwalimu wangu.
Nikukumbushe tu Mwalimu, nimeashume tu haudaiwi HESLB, BENKI wala SACCOS yoyote. Na hizo % za NHIF na CWT na vyama vya wafanayakazi sina uhakika kama zinafanana,nakuona Mwalimu kama vile unaota 23.3% inakukuna na kukupapasa ha ha be humble,be optimistic.
Nimalizie kwa kusema bila kubisha andiko lina utata mkubwa,hapo hakukuwa na ulazima wa kutaja kauli ya"ikiwemo kima cha chini" tuwe wawazi tutangaze kama Zanzibar,Kenya na Uganda walivyotangaza kuwa ongezeko ni kwa asilimia kadhaa kwa wote,hapo kila mtu angeelewa kiasi atakacho ongezewa,kutaja kima cha chini pekee kunaweza kukuta watu wanaongezeana mishahara kwa kupendeleana tu na wengine wakaongezwa kidogo sana na huna pa kuanzia kudai,kwa mfano wewe sio wa kima cha chini ukikuta unaongezeko la asilimia tano utaanzia wapi kudai kuwa umepunjwa ? Sekta binafsi hii haiwahusu,ninyi mnaongezewa mshahara unapoongezewa kazi,ila wenzetu unapandaga tu mei mosi.
Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078853
-Bachelor of Business Administration in International Business.
-Master of Leadership and Management.
Recent Publication;-
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.