Habari,
Kwa mara ya Kwanza ndani ya JF, naomba mnieleweshe juu ya Ongezeko la Serikali Kuu katika kila sekta, Mi niko Sekta ya Madini, Nafanya kazi katika Kampuni moja ya Kuchimba Dhahabu Kahama, hawa jamaa wamekataa kuongeza hiyo asilimia kwa maelezo kwamba Hawahusiki na hilo ongezeko kwa kuwa wamevuka kiwango cha chini kwao ni juu ya Laki Tatu na Nusu, pia Bei ya Dhahabu imeshuka hivyo hawawezi kuongeza hiyo asilimia!, naomba mnieleweshe kama wako sahihi au la!