Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Ni vyema kwanza niwapongeze watakaoelewa mantiki ya huu uzi.
Katika mawanda ya sheria, kuna kitu kinaitwa mgongano wa maslahi. Ni kwamba Hakimu au Jaji au mtu yeyote anayesimama kwenye altare ya kutoa haki anapaswa kujiepusha na hiki kipengele. Huwezi ukasimama kusikiliza na kuhukumu kesi ambayo inakuhusu au inamhusu mhusika wa kesi mwenye mahusiano ya karibu nawe.
Je, Bunge letu linaweza kushughulikia kilio cha wananchi kuhusu huu upumbavu wa EWURA?
Je, mume akiwa Rais, anaruhusiwa kumteua mkewe kuwa jaji mkuu?
CC
Pascal Mayalla Erythrocyte Kiranja Mkuu Gwappo Mwakatobe FaizaFoxy Tate Mkuu mimiamadiwenani Lucas mwashambwa Ritz Joannah Mama Amon @Mamdenyi sifi leo Mdude_Nyagali Mwabukusi raraa reree kimsboy CHADEMA Ccm chama changu Napelel