Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Hako kaspika kama ka kibwengo kataondoka very soon kwenye hicho kiti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣sawasawa GThii ya mume kumteua mumewe kwa Tanzania hairuhusiwi kwasababu hatuna ndoa za jinsia moja!.
Mbona hakufanya hayo kabla ya kuwa Rais? Huyo ni mwizi na mnyonyaji. Bora Mungu angemwacha JPM akamchukua huyu mkwereNdio shida hilipo; mnafikiria upuuzi kwenye vichwa vyenu contrary to economic facts.
Hakuna mtu anaewajuhumu personally, shida ni poor macroeconomic policy za serikali.
Kwa sasa sina muda wa kwenda kupoteza kutafuta link ya kukuwekea jinsi EWURA wanavyokokotoa na kupanga bei ya mafuta.EWURA hawapo hapo kwa sababu ya maslahi ya wafanyabiashara; wapo kwa sababu ya kumlinda mlaji.
Una uhakika mkuu? Kwa hii serikali yenye matobo kila upande una uhakika ewura inakulinda wewe mlaji wa mwisho?
Hata mimi huyo mzee Kikwete ananichosha sana na naamini ndio sehemu ya tatizo la nchii hii.Mbona hakufanya hayo kabla ya kuwa Rais? Huyo ni mwizi na mnyonyaji. Bora Mungu angemwacha JPM akamchukua huyu mkwere
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Kule Kenya ruto aliwaambia wachague Kati ya mambo matatu: kuhama Kenya, kufungwa jela maisha ama kutangulia kwa Mungu.2025 ni mwendo wa kuondoa hizo takataka za CCM huko bungeni ndo tutasema tuna bunge. Nchi inateswa na takataka moja IPO hapo msoga! Kwanza inatakiwa ifungwe kifungo Cha maisha. Ilimuua JPM ili inyanyase wananchi vizuri ndo inafanya hivyo sasahivi huoni hata umeme unavyokatikatika ili auze Yale majenereta yake? Na mafuta. Bei ya bidhaa imepaa!
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Tz hatuna Bunge. ni kikundi tu cha watafuna nchi. "bunge la mchongo na spika wa mchongo"Ni vyema kwanza niwapongeze watakaoelewa mantiki ya huu uzi.
Katika mawanda ya sheria, kuna kitu kinaitwa mgongano wa maslahi. Ni kwamba Hakimu au Jaji au mtu yeyote anayesimama kwenye altare ya kutoa haki anapaswa kujiepusha na hiki kipengele. Huwezi ukasimama kusikiliza na kuhukumu kesi ambayo inakuhusu au inamhusu mhusika wa kesi mwenye mahusiano ya karibu nawe.
Je Bunge letu linaweza kushughulikia kilio cha wananchi kuhusu huu upumbavu wa EWURA?
Je mume akiwa Rais, anaruhusiwa kumteua mumewe kuwa jaji mkuu?
CC
Pascal Mayalla Erythrocyte Kiranja Mkuu Gwappo Mwakatobe FaizaFoxy Tate Mkuu mimiamadiwenani Lucas mwashambwa Ritz Joannah Mama Amon @Mamdenyi sifi leo Mdude_Nyagali Mwabukusi raraa reree kimsboy CHADEMA Ccm chama changu Napelel
Ni shemejiHuyu ndiye Mme wa Spika Tulia Ackson anasema tusiwe na hofu mafuta yapo ambaye ndiye mkurugenzi wa Ewura.
Wewe unadhani Tulia ataruhusu hoja ya mafuta iende Bungeni na Mume wake Spika ajadiliwe ?View attachment 2740447
Sent using Jamii Forums mobile app
...My french...Take note: hii ya mume kumteua mumewe kwa Tanzania hairuhusiwi kwasababu hatuna ndoa za jinsia moja!.
Ni ama Mke akiwa rais ama mume akiwa rais, anaweza kabisa kumteua mumewe/mkewe kuwa CJ kama huyo mume/Mke ana sifa na vigezo.
Kitu kisichoruhusiwa ni kufanya upendeleo wa kidini, kabila, Kanda au jinsia!
.
P
Makosa ya kiuandishi"Mume akiwa Rais, anaruhusiwa kumteua mumewe kuwa Jaji Mkuu?" Hii sentensi imekaa kiSodomaGomora flani hivi.
Japo hujaniTag lakini imenifikirisha sana.... Yawezekana tumefikia huko au ni makosa ya kiuandishi???
Sitaki kuamini kwamba Subwoofer amemuoa DG wa EWURA...
Siku nyingine uwe unaandika ukiwa na chupa ya K Vant pembeni. Inaondoa mahasira...Makosa ya kiuandishi
Nikiandika huku chozi linanilenga
MkuuWaTZ fuatilieni huko ulimwenguni ndio mtajua na kuelewa kinachotokea ,bei ya mafuta imepanda dunia nzima na itazidi kwenda juu, ni baada ya Warusi na Waarabu kupunguza uvutaji na huu ni mkakati wa kuwaangusha wamagharibi na kuwakomesha kutaka kuitawala dunia.
Nchi nyingi za Afrca zimeanza kuamka juu ya wamagharibi maana hawa wamagharibi wanakwenda na wewe ,wakishakufilisi wanakutupa na kukuchafua, tumeona Afghanistani,Syria ,Iraq,Libya na sehemu nyingi tu ,hata kuvurugika kwa Ukraini sababu ni wao wamagharibi na wameshaanza kimahesabu kuwatupa mkono.
Serikali isifanye subira kujiunga na BRICS ,ndio huko kimbilio la wanyonge na waarabu wameshakimbilia huko.
Siku hizi hakuna tena kumuonea haya wamagharibi ,neno kwa neno washike adabu zao na sasa ni kuheshimiana tu.
Umemaliza kila kitu, uzi uishie hapaKwa hali ilivyo sana Ewura inapangiwa bei na wafanyabiashara.
Rais mstaafu mwenye influence ni mfanyabiashara wa mafuta, anavituo vya rangi ya blue kila baada ya umbali mfupi unakutana na kituo chake cha mafuta