Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Mnawaonea tuKwa dhahania upo sawa ila Tanzania kwasasa ewura ni fisadi wa mafuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnawaonea tuKwa dhahania upo sawa ila Tanzania kwasasa ewura ni fisadi wa mafuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri angekuwa anatoka na Irene Wolper au Hamisa Mobetto angeingiaje EWURA?🤣Huyu jamaa ni kipofu? Ana F ya kuchagua kisu kikali....
Hatuna Bunge tuna BongeNi vyema kwanza niwapongeze watakaoelewa mantiki ya huu uzi.
Katika mawanda ya sheria, kuna kitu kinaitwa mgongano wa maslahi. Ni kwamba Hakimu au Jaji au mtu yeyote anayesimama kwenye altare ya kutoa haki anapaswa kujiepusha na hiki kipengele. Huwezi ukasimama kusikiliza na kuhukumu kesi ambayo inakuhusu au inamhusu mhusika wa kesi mwenye mahusiano ya karibu nawe.
Je Bunge letu linaweza kushughulikia kilio cha wananchi kuhusu huu upumbavu wa EWURA?
Je mume akiwa Rais, anaruhusiwa kumteua mkewe kuwa jaji mkuu?
CC
Pascal Mayalla Erythrocyte Kiranja Mkuu Gwappo Mwakatobe FaizaFoxy Tate Mkuu mimiamadiwenani Lucas mwashambwa Ritz Joannah Mama Amon @Mamdenyi sifi leo Mdude_Nyagali Mwabukusi raraa reree kimsboy CHADEMA Ccm chama changu Napelel
Unatumia "jargon" nyingi Sana, kwa hiyo, ni aidha elimu yako haikusaidii au unashindwa kujenga hoja vizuri?Shida ni uelewa wenu wa maswala ya uchumi.
Hawali nimejaribu kuelezea maamuzi ya uchumi yanategemea uhalisia wa hesabu za kibiashara na psychology.
Psychologically ili mtu afiche mafuta it has to do with ‘information asymmetry’ ni dhana ya kiuchumi kufanya maamuzi ambayo mwingine hana. Based on that scenario ili mtu afiche mafuta na kusubiri bei ipande ndio auze propabity ni kwamba anaelewa supply ni ndogo ndio maana atafikiria mambo ya profiteering.
Iwapo kungekuwa na supply kubwa huo upuuzi usingekuwepo; bei ya mafuta EWURA imekuwa ikipinga kwa miaka mingi hadi watu kuamua kuyaficha kipindi hiki (kama kweli wanaficha) kuna sababu za supply shortages, macro economic reasons ambazo bei lazima ipande hadi mtu aone sababu za kufanya maamuzi ya kutokuuza haki subiri bei mpya.
Economy is science
Daaah! Na mkurugenzi wa ewura ni Mme wa Betina( Tulia ambaye ni spika wa kijiwe cha ccm kule Dodoma)Kwa hali ilivyo sana Ewura inapangiwa bei na wafanyabiashara.
Rais mstaafu mwenye influence ni mfanyabiashara wa mafuta, anavituo vya rangi ya blue kila baada ya umbali mfupi unakutana na kituo chake cha mafuta
Mbususu kapata,Huyu jamaa ni kipofu? Ana F ya kuchagua kisu kikali....
Kama wabunge wengi wanajishufhulisha na biashara ya mafuta,Ni vyema kwanza niwapongeze watakaoelewa mantiki ya huu uzi.
Katika mawanda ya sheria, kuna kitu kinaitwa mgongano wa maslahi. Ni kwamba Hakimu au Jaji au mtu yeyote anayesimama kwenye altare ya kutoa haki anapaswa kujiepusha na hiki kipengele. Huwezi ukasimama kusikiliza na kuhukumu kesi ambayo inakuhusu au inamhusu mhusika wa kesi mwenye mahusiano ya karibu nawe.
Je, Bunge letu linaweza kushughulikia kilio cha wananchi kuhusu huu upumbavu wa EWURA?
Je, mume akiwa Rais, anaruhusiwa kumteua mkewe kuwa jaji mkuu?
CC
Pascal Mayalla Erythrocyte Kiranja Mkuu Gwappo Mwakatobe FaizaFoxy Tate Mkuu mimiamadiwenani Lucas mwashambwa Ritz Joannah Mama Amon @Mamdenyi sifi leo Mdude_Nyagali Mwabukusi raraa reree kimsboy CHADEMA Ccm chama changu Napelel
Libya bei ya mafuta kwa Lita ni Tshs 78 kwanini tusinunue huko?WaTZ fuatilieni huko ulimwenguni ndio mtajua na kuelewa kinachotokea ,bei ya mafuta imepanda dunia nzima na itazidi kwenda juu, ni baada ya Warusi na Waarabu kupunguza uvutaji na huu ni mkakati wa kuwaangusha wamagharibi na kuwakomesha kutaka kuitawala dunia.
Nchi nyingi za Afrca zimeanza kuamka juu ya wamagharibi maana hawa wamagharibi wanakwenda na wewe ,wakishakufilisi wanakutupa na kukuchafua, tumeona Afghanistani,Syria ,Iraq,Libya na sehemu nyingi tu ,hata kuvurugika kwa Ukraini sababu ni wao wamagharibi na wameshaanza kimahesabu kuwatupa mkono.
Serikali isifanye subira kujiunga na BRICS ,ndio huko kimbilio la wanyonge na waarabu wameshakimbilia huko.
Siku hizi hakuna tena kumuonea haya wamagharibi ,neno kwa neno washike adabu zao na sasa ni kuheshimiana tu.
Yaani Mke amuwajibishe Mumewe?Ni vyema kwanza niwapongeze watakaoelewa mantiki ya huu uzi.
Katika mawanda ya sheria, kuna kitu kinaitwa mgongano wa maslahi. Ni kwamba Hakimu au Jaji au mtu yeyote anayesimama kwenye altare ya kutoa haki anapaswa kujiepusha na hiki kipengele. Huwezi ukasimama kusikiliza na kuhukumu kesi ambayo inakuhusu au inamhusu mhusika wa kesi mwenye mahusiano ya karibu nawe.
Je, Bunge letu linaweza kushughulikia kilio cha wananchi kuhusu huu upumbavu wa EWURA?
Je, mume akiwa Rais, anaruhusiwa kumteua mkewe kuwa jaji mkuu?
CC
Pascal Mayalla Erythrocyte Kiranja Mkuu Gwappo Mwakatobe FaizaFoxy Tate Mkuu mimiamadiwenani Lucas mwashambwa Ritz Joannah Mama Amon @Mamdenyi sifi leo Mdude_Nyagali Mwabukusi raraa reree kimsboy CHADEMA Ccm chama changu Napelel
Analeta ngonjera na porojo kwenye maisha ya msingi ya watu ,EWURA hawapo hapo kwa sababu ya maslahi ya wafanyabiashara; wapo kwa sababu ya kumlinda mlaji.
Una uhakika mkuu? Kwa hii serikali yenye matobo kila upande una uhakika ewura inakulinda wewe mlaji wa mwisho?
Sawa mumewe tulia aka BetinaKwa sasa sina muda wa kwenda kupoteza kutafuta link ya kukuwekea jinsi EWURA wanavyokokotoa na kupanga bei ya mafuta.
Hila hawajiamikii tu asubuhi moja na kusema wajameni tuongeze bei ya mafuta au tushushe. Wanafanya hayo maamuzi based on formatted formula which it’s inputs depends on evidence of factual market variables kuhakikisha kuna fair price. Muuzaji apati faida za anasa based on evidence na wanajaribu kumlinda mlaji. Huo ndio uhalisia.
Hakuna Janja yoyote ya kumnufaisha au kumuumiza mtu kwenye kupanga bei; isipokuwa ni facts tu.
Ni vyema kwanza niwapongeze watakaoelewa mantiki ya huu uzi.
Katika mawanda ya sheria, kuna kitu kinaitwa mgongano wa maslahi. Ni kwamba Hakimu au Jaji au mtu yeyote anayesimama kwenye altare ya kutoa haki anapaswa kujiepusha na hiki kipengele. Huwezi ukasimama kusikiliza na kuhukumu kesi ambayo inakuhusu au inamhusu mhusika wa kesi mwenye mahusiano ya karibu nawe.
Je, Bunge letu linaweza kushughulikia kilio cha wananchi kuhusu huu upumbavu wa EWURA?
Je, mume akiwa Rais, anaruhusiwa kumteua mkewe kuwa jaji mkuu?
CC
Pascal Mayalla Erythrocyte Kiranja Mkuu Gwappo Mwakatobe FaizaFoxy Tate Mkuu mimiamadiwenani Lucas mwashambwa Ritz Joannah Mama Amon @Mamdenyi sifi leo Mdude_Nyagali Mwabukusi raraa reree kimsboy CHADEMA Ccm chama changu Napelel
Waliomuua Gadafi wamejiweka huko.Libya bei ya mafuta kwa Lita ni Tshs 78 kwanini tusinunue huko?
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Nakubaliana na ww familia ya Jk inatutesa sana bora mungu angemchukua huyu abunuasi2025 ni mwendo wa kuondoa hizo takataka za CCM huko bungeni ndo tutasema tuna bunge. Nchi inateswa na takataka moja IPO hapo msoga! Kwanza inatakiwa ifungwe kifungo Cha maisha. Ilimuua JPM ili inyanyase wananchi vizuri ndo inafanya hivyo sasahivi huoni hata umeme unavyokatikatika ili auze Yale majenereta yake? Na mafuta. Bei ya bidhaa imepaa!
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Prof. Assad always yupo sahihi kweny hili 👇👇Ni vyema kwanza niwapongeze watakaoelewa mantiki ya huu uzi.
Katika mawanda ya sheria, kuna kitu kinaitwa mgongano wa maslahi. Ni kwamba Hakimu au Jaji au mtu yeyote anayesimama kwenye altare ya kutoa haki anapaswa kujiepusha na hiki kipengele. Huwezi ukasimama kusikiliza na kuhukumu kesi ambayo inakuhusu au inamhusu mhusika wa kesi mwenye mahusiano ya karibu nawe.
Je, Bunge letu linaweza kushughulikia kilio cha wananchi kuhusu huu upumbavu wa EWURA?
Je, mume akiwa Rais, anaruhusiwa kumteua mkewe kuwa jaji mkuu?
CC
Pascal Mayalla Erythrocyte Kiranja Mkuu Gwappo Mwakatobe FaizaFoxy Tate Mkuu mimiamadiwenani Lucas mwashambwa Ritz Joannah Mama Amon @Mamdenyi sifi leo Mdude_Nyagali Mwabukusi raraa reree kimsboy CHADEMA Ccm chama changu Napelel
Huyu ndiye Mme wa Spika Tulia Ackson anasema tusiwe na hofu mafuta yapo ambaye ndiye mkurugenzi wa Ewura.
Wewe unadhani Tulia ataruhusu hoja ya mafuta iende Bungeni na Mume wake Spika ajadiliwe?
View attachment 2740447
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mtu ambaye alitakiwa aweke, asimamie hizo Sera wakati alipokuwa na dhamana au mamlaka hayo kama hakufanya hivyo tunaweza kusema anawahujumu watu waliompa dhamana ya kuwaongoza.Ndio shida hilipo; mnafikiria upuuzi kwenye vichwa vyenu contrary to economic facts.
Hakuna mtu anaewajuhumu personally, shida ni poor macroeconomic policy za serikali.