Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Sasa bunge linatakiwa kuiwajibisha vipi EWURA.
EWURA hawajiamikii tu na kuamua bei ya mafuta; wana-formula yao wanayotumia inayozingatia market variable kwenye kukotoa bei za soko. You must be very dumb, kama mpaka leo uelewi jinsi wanavyoamua bei.
EWURA hawapo hapo kwa sababu ya maslahi ya wafanyabiashara; wapo kwa sababu ya kumlinda mlaji.
Uchumi ni ‘social science’ kuna logics za kibiashara, na human behaviour kwenye maaamuzi ya wafanyabiashara based on their market knowledge.
Hakuna mfanyabiashara anaeweza fanya ‘hoarding ya bidhaa’ for profiteering purposes where supply outstrips demand.
Hata kama kweli kuna watu wana ficha mafuta (kitu ambacho sioni faida yake) even if information asymmetry is the factor nonetheless hali halisi inabaki kuwa uwepo mdogo wa mafuta katika maghala, higher purchase prices ya waagizaji kwenye kununua kutokana na shilling kuendelea kushuka thamani dhidi ya dollar na ukosefu wa dollar sokoni; unachangia kwa kiasi kikubwa.
Hayo matusi kwa EWURA wahusika are taking one for team government; but the situation is beyond their control. Wao wanapokea matusi kwasababu ndio wenye kutoa habari mbaya kwenye jamii.
Mengine ni uwezo mdogo tu wa watanzania kwenye kuelewa mambo.
Nakubaliana na wewe kote kasoro hapa [emoji116]
“Hakuna mfanyabiashara anaeweza fanya hoarding ya bidhaa for profiteering purposes where supply outstrips demand…”
Unless tunaishi dunia ya tofauti lakini the last time I checked it’s a Liberal world.
Majuzi tu hapa issue ya kukosekana kwa mahindi, ghala la chakula kuchomwa moto, mchele kupotea?