NGOGO CHINAVACH
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 943
- 371
Kampuni gani?Acha kujustify hizi mambo wewe bima wanakuambia wao watalipa 60,000..mim wananizungusha tangu mwezi wa 4..wanapiga tu danadana ooh cjui alie gonga gari yako itabidi achangie..etc etc..huwezi kujustify..policy ya bima ni kutolipa ndo mana wanaweka masharti magumu sijui report within 24 hrs..etc etc..!!!