Ongezeko la ID mpya za kike jf kuanzia 2017-2019

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe juu yenu wakuu

Nimekuwa nikijiuliza hawa wadada new member humu jf wametoka wapi mbona zaman hawakuwepo au walikuwa hawaijui jf?

Na ni kwanini wengi wanatafuta waume yaan ndoa? Ukienda jukwaa la kutafuta wachumba utawakuta

Je hawa member ni mademu kweli au nini

Nachoka kabisa

Nawasilisha

LONDON BOY kwa sasa Niko nyampande Sengelema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...wanazingua boss unaweza kuta ni madume yamekuja na new ID. ila juzkati kama zali nilimpata manzi kwa hilo jukwaa la wachumba. new ID ile
 
hahaha mkuu wale ni waongo mnooo kuna mmoja last week ali weka UZI bac kweli mi nikapeleka bid yangu bac kweli akanipa namba nikamtwangia sasa akaniuliza unaanya shughuli zako wapi mi nika mtwist kidogo nikamwambiow come we a nafanya mbezi mwisho apa sokoni LOL yule manzi akakimbia mpaka leo haaokei simu zangu nikajua hakuwa serious how come we una muuliza mtu unafanya shughuli gani ? ukimtajia shughuli za ajabu ajabu anakimbia hapo tu inathibitisha wale wapo kimaslai zaidi and not for the sake of love
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…