Ongezeko la ID mpya za kike jf kuanzia 2017-2019

Ongezeko la ID mpya za kike jf kuanzia 2017-2019

hahaha mkuu wale ni waongo mnooo kuna mmoja last week ali weka UZI bac kweli mi nikapeleka bid yangu bac kweli akanipa namba nikamtwangia sasa akaniuliza unaanya shughuli zako wapi mi nika mtwist kidogo nikamwambiow come we a nafanya mbezi mwisho apa sokoni LOL yule manzi akakimbia mpaka leo haaokei simu zangu nikajua hakuwa serious how come we una muuliza mtu unafanya shughuli gani ? ukimtajia shughuli za ajabu ajabu anakimbia hapo tu inathibitisha wale wapo kimaslai zaidi and not for the sake of love
Hahahahaa pole sana mkuu ungemwambia una duka la jumla kariakoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watajeni wakuu tukabahatishe bahati zetu.
kuna mmoja anaitwa money penny sidhani kama nimepatia jina lake.. kiumbe machachari hiki hakijatulia mada zake za ajabu ajabu nafikiri kinakufaa😆
 
Back
Top Bottom