Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
ni kisu bobu! yupo apo UDOM.. ila sikutajii ww fisi nakujua bossi ๐๐unaweza ukaja huku dom kunichinjia manzi bure ๐๐
Kumbe wewe bado mgen kabisa mkuu humu ndanJamiiforum Kuna jukwaa la kutafuta wachumba
Nitajie tu mkuu nimuvute nimlete hapa waswano ale kilo ya kitomoto mdogo mdogoni kisu bobu! yupo apo UDOM.. ila sikutajii ww fisi nakujua bossi [emoji23][emoji23]unaweza ukaja huku dom kunichinjia manzi bure [emoji23][emoji23]
Sio mgeni ila Kuna majukwaa sijawahi kuchungulia.
Lipo mkuu nenda jukwaa MMU kwa juu yake utaliona kiongozSio mgeni ila Kuna majukwaa sijawahi kuchungulia.
Hahahahaa pole sana mkuu ungemwambia una duka la jumla kariakoohahaha mkuu wale ni waongo mnooo kuna mmoja last week ali weka UZI bac kweli mi nikapeleka bid yangu bac kweli akanipa namba nikamtwangia sasa akaniuliza unaanya shughuli zako wapi mi nika mtwist kidogo nikamwambiow come we a nafanya mbezi mwisho apa sokoni LOL yule manzi akakimbia mpaka leo haaokei simu zangu nikajua hakuwa serious how come we una muuliza mtu unafanya shughuli gani ? ukimtajia shughuli za ajabu ajabu anakimbia hapo tu inathibitisha wale wapo kimaslai zaidi and not for the sake of love
kuna mmoja anaitwa money penny sidhani kama nimepatia jina lake.. kiumbe machachari hiki hakijatulia mada zake za ajabu ajabu nafikiri kinakufaa๐Watajeni wakuu tukabahatishe bahati zetu.
nahsi
Yaaan wewe ndo hujui kabisa wadada wengi wanataka kudanganywa ukimwambia ukweli anasepanahsi
hhahahah unamwambia una ofisi ya insuarance benjamin mkapa tower
๐๐๐Imebidi nicheke aisee nimeenda kwa hilo jukwaa utapeli
Mkuu umetoka mikono mitupu hujan'goa hata mchumba[emoji3][emoji3][emoji3]Imebidi nicheke aisee nimeenda kwa hilo jukwaa utapeli
Mkuu ukimwi wa kujitakia sitakii ๐๐๐
sasa na ww unazani mi nilikuwa seriuz first nilizani ni lidume lilimpa tu manzi simu kuwa macho mzee mbaba utatapeliwa wwYaaan wewe ndo hujui kabisa wadada wengi wanataka kudanganywa ukimwambia ukweli anasepa
Ungemwambia unafanya kaz Dodoma ofis ya makamu wa rais mama samia
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaYaaan wewe ndo hujui kabisa wadada wengi wanataka kudanganywa ukimwambia ukweli anasepa
Ungemwambia unafanya kaz Dodoma ofis ya makamu wa rais mama samia
Sent using Jamii Forums mobile app
wa huba nini tatizo.?