Ongezeko la kasi la ujenzi wa vituo vya kujazia mafuta (Petrol & Diesel)

Ongezeko la kasi la ujenzi wa vituo vya kujazia mafuta (Petrol & Diesel)

Inawezekana utoaji wa leseni/vibali umeboreshwa na kuvutia wawekezaji wengi zaidi. Pia, biashara ya mafuta haina hasara na ukiifanya vizuri inaweza ikakuunganisha na biashara kubwa zaidi.
 
Back
Top Bottom