Tetesi: Ongezeko la masharti ukitaka kufungua akaunti ya Benki lazima kuongezea kiapo cha mahakama licha ya kuwa na vitambulisho husika

Tetesi: Ongezeko la masharti ukitaka kufungua akaunti ya Benki lazima kuongezea kiapo cha mahakama licha ya kuwa na vitambulisho husika

Ujamaa 💯....
Alijaribu Nyerere alikiona kiti kichungu.....
Pengine itauzia money laundering and those stuffs, Ila kiukwel too much beuracracy has never been a a good indicator for economy growth....
Hapa Kenya na Uganda tutwasikia tu kwenye list za middle class economy....
Tutaburuzika for another good100yrs....
Sidhani kama ni ujamaa....money laundering...drugs ...and other evil vices of this world
 
Mkuu hii ni hatari, ngoja tujiandae kuzitunza ndani,

Ile ya.kisiwa.cha Guam sikuiamini kwanza nikaileta kwa wanajamvi maana watu wa Mambo hayo wapo kupitia majibu yao yamesaidia sana kujua mambo

Unazitunza ndani!? Akiamua kubadili hela mbona utakaa chini?
 
Pamoja na kwamba hata kama utakuwa na vitambulisho vyoote husika lakin muhim kuwa na kiapo cha mahakamani kwa taarifa unazotoa wakati wa ufunguzi wa akaunt,

Wakati huo huo akaunt zote ambazo zitaonekana kupitisha hela kubwa kubwa zitachunguzwa na wakibaini hela inapita tu bila kuwa na uthibitisho wa hela zako, akaunt inazuiliwa, na kiasi chenyewe ni zaid ya milion 50 kwa miezi kadhaa
Kwa wafanyakazi wa ENI EMU BII ninyi ni mashahidi wamepokea waraka toka BII OO TII kwamba hakuna mtu ku deposit zaid ya milion 40 bila maelezo zimetoka wapi

Pia kwamba Huruhusiwi kufungua akaunt mbili za aina moja ndani ya benki moja kama ilivyokuwa zamani,

Stay tuned,

Britannica,
Ndivyo ilivyo nchi mnazoita za watu, ss tumechelewa!
 
Hiki ni chanzo cha Tanzania kuwa na kitu knaitwa BLACK MONEY, kuna aina mbili ya blqck money.

1. Ni pesa za drugs
2. Pesa za kukwepa kodi ambazo zinakuwa zinafichwa majumbani na sehemu zingine za siri.

India inaongoza sana kwa Black Money, matajiri wakizeweka hizo pesa mabenki India, basi benki zitafurika.

Tulumbuke enzi ya Sokoine, watu walitupa magunia ya pesa mitoni na porini.

Tuna rudi a full circle to 1970s na 80s.
 
Ujamaa 💯....
Alijaribu Nyerere alikiona kiti kichungu.....
Pengine itauzia money laundering and those stuffs, Ila kiukwel too much beuracracy has never been a a good indicator for economy growth....
Hapa Kenya na Uganda tutwasikia tu kwenye list za middle class economy....
Tutaburuzika for another good100yrs....
Huu siyo ujamaa ila ndivyo inavyotakiwa. Umewahi kufika Ulaya? Unajua masharti ya kufungua account ya benki au ku-deposit fedha nyingi ukiwa Ulaya? Sisi tumechelewa sana.
 
Ndivyo ilivyo nchi mnazoita za watu, ss tumechelewa!
Mkuu watafikiria mimi na wewe ni mtu mmoja ID tofauti. Hata mimi nimemwambia hivyo hivyo. Nchi nyingi zilizoendelea huwezi kufungua account au ku deposit fedha kama uko Kariakoo.
 
Pamoja na kwamba hata kama utakuwa na vitambulisho vyoote husika lakin muhim kuwa na kiapo cha mahakamani kwa taarifa unazotoa wakati wa ufunguzi wa akaunt,

Wakati huo huo akaunt zote ambazo zitaonekana kupitisha hela kubwa kubwa zitachunguzwa na wakibaini hela inapita tu bila kuwa na uthibitisho wa hela zako, akaunt inazuiliwa, na kiasi chenyewe ni zaid ya milion 50 kwa miezi kadhaa
Kwa wafanyakazi wa ENI EMU BII ninyi ni mashahidi wamepokea waraka toka BII OO TII kwamba hakuna mtu ku deposit zaid ya milion 40 bila maelezo zimetoka wapi

Pia kwamba Huruhusiwi kufungua akaunt mbili za aina moja ndani ya benki moja kama ilivyokuwa zamani,

Stay tuned,

Britannica,

Habari mkuu Britannica? Nashukuru sana kwa kuleta hii mada hapa jamvini, bila shaka kupitia majibu mawili matatu, watu wanaweza kujifunza kitu.

Kwanza napenda kuwapongeza serikali kupitia BOT kwa kuanzisha hili zoezi. Dhumuni la kuleta huu mchakato nikutusaidia mimi na wewe kupambana dhidi ya "Utakatishaji wa Pesa(Money laundering)". Kuwa na kitambulisho pekee haitoshi kuweza kutambuliwa maana hapa Tanzania hakuna miundo mbinu ya kuweza kuhakikisha vitambulisho vyako.

Hii inamaana mtu yoyote anaweza kugushi kitambulisho na kukitumia kufungua akaunti kwa dhumuni la kutakatisha pesa. Nia ya kuonesha barua toka Mahakamani kutawarahisishia Bank kwamba vitambulisho vyako nivyakweli na sio gushi. Pia, benki wana haki kisheria kufuatilia na kukuhoji juu ya pesa zako kwenye akaunti.

Nawaomba tuwapongeze ma benk na serikali kuhusu hili zoezi. Kama kweli ma benki wataweza kulisimamia ipasavyo, tutafaidika sana kama nchi.

Asante.
 
Watu wana ingiza 150B,Tzs, nyumbani Mnafanya matangazo live!? Bank sasa Hivi mwendo wa kuchunguliana. Mtafanya watu warudie zama kuchimbia pesa. Pia tutawanuisha majirani zetu huku tukiua uchumi nyumbani.
Naona wanataka kukuza demand ya safe na vibubu!
 
Tuendeleeni tu kucheka cheka tukishatumbukia hakuna wakututoa na tukitoka itakuwa karne nyingine duniani..

Aliyeiingiza Congo DRC kwenye hali iliyopo ni Mobutu Seseseko alikuwa akichekewa na wajinga waliokuwa wakifaidi keki lakini mambo yalivyoharibika hayakuchagua nani alikuwa shabiki wa nani...
 
Mkuu watafikiria mimi na wewe ni mtu mmoja ID tofauti. Hata mimi nimemwambia hivyo hivyo. Nchi nyingi zilizoendelea huwezi kufungua account au ku deposit fedha kama uko Kariakoo.
Waulize waMarekan, kuna taass inaitwa IRS (inland revenue service)... Hao jamaa wakukute umefngua akaunti kinyemela au una dollars 1000 mknoni bila maelezo, cha moto utakiona!
 
Habari mkuu Britannica? Nashukuru sana kwa kuleta hii mada hapa jamvini, bila shaka kupitia majibu mawili matatu, watu wanaweza kujifunza kitu.
Kwanza napenda kuwapongeza serikali kupitia BOT kwa kuanzisha hili zoezi. Dhumuni la kuleta huu mchakato nikutusaidia mimi na wewe kupambana dhidi ya "Utakatishaji wa Pesa(Money laundering)". Kuwa na kitambulisho pekee haitoshi kuweza kutambuliwa maana hapa Tanzania hakuna miundo mbinu ya kuweza kuhakikisha vitambulisho vyako. Hii inamaana mtu yoyote anaweza kugushi kitambulisho na kukitumia kufungua akaunti kwa dhumuni la kutakatisha pesa. Nia ya kuonesha barua toka Mahakamani kutawarahisishia Bank kwamba vitambulisho vyako nivyakweli na sio gushi. Pia, benki wana haki kisheria kufuatilia na kukuhoji juu ya pesa zako kwenye akaunti.

Nawaomba tuwapongeze ma benk na serikali kuhusu hili zoezi. Kama kweli ma benki wataweza kulisimamia ipasavyo, tutafaidika sana kama nchi.

Asante.
Nakubaliana na hoja kadhaa isipokuwa suala la barua ya mahakama. Binafsi sioni kama mahakama inayomiundombinu ya kuverify vyeti, At least wangesema benki ipate verification kutoka NIDA na hiyo verification sio ya barua bali iwe system generated verification. Unaenda nida unaingiza fingerprint kuthibitisha kama ID ni yako kweli, then fingerprint zikimatch basi afisa wa NIDA anatuma system generated email kwenda benki kuwa fulani bin fulani anaruhusiwa kufungua akaunti kwa jina lake na taarifa zake ni sahihi.
 
Ndivyo ilivyo nchi mnazoita za watu, ss tumechelewa!
Mkuu watafikiria mimi na wewe ni mtu mmoja ID tofauti. Hata mimi nimemwambia hivyo hivyo. Nchi nyingi zilizoendelea huwezi kufungua account au ku deposit fedha kama uko Kariakoo.
Waulize waMarekan, kuna taass inaitwa IRS (inland revenue service)... Hao jamaa wakukute umefngua akaunti kinyemela au una dollars 1000 mknoni bila maelezo, cha moto utakiona!
Masikini Tanzania! Vipofu wakiongozana, ni hatari tupu...
 
Uzuri hapa hata "wajeda" nao wataguswa pamoja na watu wa chama chake.

Ni swala la muda tu kila mtu atamchoka na wote tutaongea lugha moja.
Mbona tayari! Tena hao wa chama chake (wale watu makini) sio kama waliomo humu, wamechoka kupitiliza na kwa vile hawawezi kusema hadharani sumu hiyo inawatafuna hakuna mfano.
Wapo wanaootea bendera nusu mlingoti!
 
Back
Top Bottom