Ongezeko la matukio ya wizi maeneo ya Buguruni Dar Es Salaam

Ongezeko la matukio ya wizi maeneo ya Buguruni Dar Es Salaam

Ndiyo mkuu ukweli upo, hasa wamama ndiyo wanaporwa sana.
Ni hasa mida ya alfajiri wale wamama wanaoenda sokoni Ilala, Vingunguti n.k
Duh sasa itakuwaje🙄🙄🙄 manake hapo kama mishe zako ni za kutoka alfajiri, unakua hatarini eeh?
 
Daah noma sana kunasehemu kama hizo buguruni,keko huko buza😐😐😐 manzese 🙌🙌daah napaogopa sana.
 
Ubaya ni kua wezi wanafahamika ila serikali hizo za mitaa zipo na haziwachulii hatua.

Wananchi nao wanajifanya wako bize na mishe zao, mtu kaibiwa mnaona ila wananchi wanaweza kumpisha mwizi akimbie, kila mtu na lake ndio maana wanatamba sana hao.

Masokoni huwa wana ushirikiano sana, huwezi kuta wizi wa kijingajinga labda utapeli ila sio udokozi wa kukabana. Maana pale kila mtu anajua yeye mkoa aliotoka.

Ila huko mitaani wengi ni wazawa, wameridhika na hizo tabia.
 
Tafuta pesa usikae sehemu za hovyo hovyo.
 
Back
Top Bottom