Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Hili linawezekana kabisa.Ukute hapo walinzi mnaowachangia ndo wezi wenyewe
Ulinzi shirikishi hawafuati kanuni yoyote ileNi sahihi kuondoka muda huo?Wamewekewa muda maalum wa kuondoka?Kanuni za ulinzi kwa kuzingatia malindo ya usiku yanatuelekezaje?
Hawa wanajiita walinzi shirikishi nimetibuana nao mara kadhaa mpaka wakanizoea hawanifuatilii tena.Ulinzi shirikishi hawafuati kanuni yoyote ile
Duh sasa itakuwaje๐๐๐ manake hapo kama mishe zako ni za kutoka alfajiri, unakua hatarini eeh?Ndiyo mkuu ukweli upo, hasa wamama ndiyo wanaporwa sana.
Ni hasa mida ya alfajiri wale wamama wanaoenda sokoni Ilala, Vingunguti n.k
Usiku wanazingua sana hata kama wanakujuaHawa wanajiita walinzi shirikishi nimetibuana nao mara kadhaa mpaka wakanizoea hawanifuatilii tena.
Wanamambo ya kijinga sana kama hawakujui.
Kuna umaskini wa kutishaHiyo sehemu ni ya ajabu sana
Duh sasa itakuwaje
Kuna brother wangu aliwahi kukabwa alfajiri na jamaa wamevaa kanzu wanajifanya wanawahi msikitiniBuguruni wizi na ukabaji havijaanza leo, ni muendelezo tu wa mambo hayo