Ongezeko la mishahara kwa walimu

tatizo ni walimu wenyewe na chama chao (cwt) kinawaburuza
:yell:
 

hata sishangai kwan wewe n kati ya wale waliopata Ziro form 4 na sasa hv unaongea pumba 2 mbuz wewe! Hv unajua kama c mwl nchi hii isingepata uhuru?
 
Napenda kurudia maneno yangu kuwa humu JF kuna aina fulani ya watu ambo wao ndiyo kila kitu usiseme wala usiulize kitu. Mtu kauliza swali badala ya kupewa jibu anasema ya form na zero. Nani alifundishwa na mwalimu mwenye PhD primary?

Jamani mtoa mada pole, jibu ni kwamba mishahara hushughulikiwa na Wizara ya Utumishi na siyo Elimu bali elimu hupaswa kuboresha mazingira na kujenga hoja ya kuboresha mishahara ya walimu. Ndiyo maana kwenye hotuba ya najeti imeombwa kuundwa kwa baraza la watu wenye taaluma ya ualimu kama ilivyo kwa wanasheria, Wahasibu na wengineo. Madaktari wameunda chao hivi karibuni walimu mkiwa nacho kinasaidia kuliko chama cha waalimu ambacho kimsingi kinaangalia shule za msingi na sekondari tu na hivyo kuishia kukusanya fedha bila kutoa msaada mkubwa kwa mwalimu.
 
We dogo ni mse.n.ge!
 

Perry ugumu wa maisha yako ya sasa usimlaumu mwl wako bali ww mwenyewe acha USENGEnyaji mtoto wa kiume.
 
Asiyejua umuhimu wa walimu katika elimu lazima ataongea pumba kuhusu maslahi, haki na wajibu wa mwalimu
 

nina wasiwasi kama ulichoandka umeshrikisha ubongo wako. Kwa hyo we unaona kwa kufanya hvyo ndio suluhu?
 
unat.o.m.b.wa ww sio bure!M.S.E.N.G.E NINI!,kuku ww!!
 
unat.o.m.b.wa ww sio bure!M.S.E.N.G.E NINI!,kuku ww!!

eti nawe unajiita mwalimu!akili imejaa makamasi tu,na mtaendelea kula vumbi la chaki mpaka yesu arudi mabogus wakubwa nyie.
 
Muongezewe mshahara kwa kazi gani mnayofanya,au kwa elimu gani mlionayo vilaza wakubwa nyie?mmekalia kuuza kashata na mandazi huko mas hoja kama hii nahis hata shetan haiungi mkono
 
Muongezewe mshahara kwa kazi gani mnayofanya,au kwa elimu gani mlionayo vilaza wakubwa nyie?mmekalia kuuza kashata na mandazi Hoja kama hii nahic hata shetan haiungi mkono
 
Ni vema kama mtu huna cha kuchangia ukakaa kimya

sioni haja ya kuweka matus kwenye jukwaa la watu makini kama JF jukwaa ambalo mimi niliamini kuwa sehemu ya michango muhmu sana kuhusu mambo mbalimbali ya kijamii

watu kama mipale steve wanaleta mambo ya kipuuz kabisa, kwa maoni yangu huyu hana hata sifa ya kusoma habari yoyote hapa JF

kama great thinker ningependekeza watu kama hawa waondolewe hapa JF
 
Reactions za walimu hawa wa kidigital zinaonyesha hawana busara,mwalimu wa kweli kitaaluma hawezi kuandika matusi makubwa kwenye jukwaa linaloheshmika ama JF..mi naona uwezo wao wa kufikiri unaendana na mshahara wanaolipwa wawe wapole tu.
 
Reactions za walimu hawa wa kidigital zinaonyesha hawana busara,mwalimu wa kweli kitaaluma hawezi kuandika matusi makubwa kwenye jukwaa linaloheshmika ama JF..mi naona uwezo wao wa kufikiri unaendana na mshahara wanaolipwa wawe wapole tu.

bora hata na wewe umeliona hilo mkuu,hawa walimu wa siku hzi wanaenda kusomea ualimu kwa sababu walifeli huko secondary au wengine ili tu wapate bumu..mwishowe ndo hawa wanaishia kuuza maandazi na wengne kuwa mabodaboda huko mashuleni na kuwaacha watoto wakifeli.halafu hata wasivyokua na aibu eti bado nao wanataka waongezewe mshahara..walimu mishahara yenu itabaki kuwa TGS D milele,hawana mchango wowote katika hili taifa.
 

we kweli huna akili......
 
ningekua sina akili,na me ningesomea ualimu kama wewe mliberali.
na pia ungekuwa una akili ungekumbuka kuwa hata huo uwezo wa kuunga herufi mojamoja na kuwa neno na hatimaye sentesi ya kukejeli na kutukana ulifundishwa na mwalimu....lakini pia, ungekuwa na akili, ungeweza kupima tu, hali aliyokuwa nayo mwalimu wakati anakufundisha shule ya awali, na hali aliyonayo sasa.....na pia, ungekuwa na akili, ungeweza japo kuhisi tu, kuwa si kila anayekusema wewe kwa matusi yako ni mwalimu......alafu, fanya utafiti kidogo juu ya hiyo term, "mliberali" koz naamini mara ya kwanza wewe kuisikia ni juzi bungeni....
 

huna jipya,kale vumbi ya chaki huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…