Kufa c mwiko
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 752
- 320
Kwa tetesi nilizonazo eti ongezeko la mishahara ya watumishi Tanzania 2013 kwamba walimu 25 percent, afya 60 percent na 55 percent sekta nyinginezo, hivi mwalimu nchi hii amekosa nini? hivi serikali hii ina maradhi gani? ni bora serikali ingeacha mambo kama yalivyo kulikoni kebehi hii kwa walimu kwani wasitegemee mapinduzi yoyote ya elimu bali zero zitaongezeka tu.
wanawaona walimu mapimbi!? Wataisoma namba kuanzia matokeo ya mitihani mpaka chaguzi zote zinazofuata.