Ongezeko la mishahara kwa walimu

Ongezeko la mishahara kwa walimu

Kwa tetesi nilizonazo eti ongezeko la mishahara ya watumishi Tanzania 2013 kwamba walimu 25 percent, afya 60 percent na 55 percent sekta nyinginezo, hivi mwalimu nchi hii amekosa nini? hivi serikali hii ina maradhi gani? ni bora serikali ingeacha mambo kama yalivyo kulikoni kebehi hii kwa walimu kwani wasitegemee mapinduzi yoyote ya elimu bali zero zitaongezeka tu.

wanawaona walimu mapimbi!? Wataisoma namba kuanzia matokeo ya mitihani mpaka chaguzi zote zinazofuata.
 
Kwa tetesi nilizonazo eti ongezeko la mishahara ya watumishi Tanzania 2013 kwamba walimu 25 percent, afya 60 percent na 55 percent sekta nyinginezo, hivi mwalimu nchi hii amekosa nini? hivi serikali hii ina maradhi gani? ni bora serikali ingeacha mambo kama yalivyo kulikoni kebehi hii kwa walimu kwani wasitegemee mapinduzi yoyote ya elimu bali zero zitaongezeka tu.

chanzo plz!
 
walimu wote walishahamaga ccm...
Wamejiunga na dijital! mwonekano mpya cdm!
 
Kaburi la nyerere inabidi lipigwe kwa bakora na walimu kwa kuwasaliti walimu na elimu ya tanzania
 
Tatizo walim ni wengi sana ukilinganisha na sekta zngine.ikiongezwa lak5*walim wote=utolo mtashnda kusmamia milad yenu
 
bora hata na wewe umeliona hilo mkuu,hawa walimu wa siku hzi wanaenda kusomea ualimu kwa sababu walifeli huko secondary au wengine ili tu wapate bumu..mwishowe ndo hawa wanaishia kuuza maandazi na wengne kuwa mabodaboda huko mashuleni na kuwaacha watoto wakifeli.halafu hata wasivyokua na aibu eti bado nao wanataka waongezewe mshahara..walimu mishahara yenu itabaki kuwa TGS D milele,hawana mchango wowote katika hili taifa.

acha kupongeza upumbavu ww!walimu hawapo unavyofikiria ww,ila hasira nakutofundisha kwamoyo kunatokana mishahara duni!ww kama kweli nimtu wahaki utakubaliana namm,kamkubwa haiwezekani mzigo wakazi tembo afu mshahara sisimizi.walimu tutaendelea kushikiria ajira!
 
Wewe huyo unayeandika hzo pumba si ajabu una watoto na wapo mashuleni...bg up kwa kwa kuwa IDIOT mkubwa..anzisha shule yako ufundishe ukoo wako cos ur gifted n inteligent ..hopeless
 
Nakishanga na kukionea huruma kizaz hiki kinachomdharau na kumpuuza mwal...ipo siku kitatambua alafu itakua too late..ver sor for yu..af mnatoa mapovu machafu dhidi ya walimu c ajabu watoto wenu hawajanza ata shule na uwezo wenu ni wakuwasomesha shule zetu za kidumu cha maj na ufagio...mmm..al da best yu hopeless guys msio na aibu kwa mnayoropoka
 
Hamjengi hoja ila mnatambiana uwezo wa kutusi,ukiona watoto wanakomba vyombo elewa hawakushiba mezani,kuuza maandazi je?
 
Wangekua na maisha bora wasingeuza mandazi..ni hali ngumu ya maisha
 
bora hata na wewe umeliona hilo mkuu,hawa walimu wa siku hzi wanaenda kusomea ualimu kwa sababu walifeli huko secondary au wengine ili tu wapate bumu..mwishowe ndo hawa wanaishia kuuza maandazi na wengne kuwa mabodaboda huko mashuleni na kuwaacha watoto wakifeli.halafu hata wasivyokua na aibu eti bado nao wanataka waongezewe mshahara..walimu mishahara yenu itabaki kuwa TGS D milele,hawana mchango wowote katika hili taifa.
kama wazazi au ndugu yako alifeli akakimbilia ualimu usitufananishe na sisi,
au kama ulisomeshwa kwa fedha za kuuza mandazi usione na walimu wapo ivo
Alafu wew unayehoji ufaulu wa waalimu ONYESHA vyeti vyako kama ulifaulu au kama hata umesoma,umeishia kupata div.3 na 2 hata chuo hujaenda
 
Mkuu huyo Perry sijui ana matatizo gani na walimu, ikitokea mada yoyote inayohusu walimu basi lazima aponde tena kwa chuki, Nahisi he is kinda psychotic..!!
 
Last edited by a moderator:
Reactions za walimu hawa wa kidigital zinaonyesha hawana busara,mwalimu wa kweli kitaaluma hawezi kuandika matusi makubwa kwenye jukwaa linaloheshmika ama JF..mi naona uwezo wao wa kufikiri unaendana na mshahara wanaolipwa wawe wapole tu.
kuwa makini na kazi ya mtu,kwan mwalimu si mtu?nani asiyetoa maneno ya kukera endapo kaudhiwa?wat z busara?wewe unazo?hata ng'ombe anazo..
Uwezo wa kufikiri unapimwaje?na wew unauwezo wa kiasi gan?lazima utakuwa 0 tu.kama sio usingeandika uo upuuzi.
fikiria wanao alafu urudie kuandika iyo comment
 
Mkuu huyo Perry sijui ana matatizo gani na walimu, ikitokea mada yoyote inayohusu walimu basi lazima aponde tena kwa chuki, Nahisi he is kinda psychotic..!!

Amini usiami jamaa ni mwalimu, huu 'ugonjwa' hata mimi unanisumbua, mwanzoni nilidhani ni kwasababu nipo kwenye mchakato wa kuacha kazi hii lakini hivi karibu nimejifunza jambo, watu wengi wanafanya kazi ambazo hawakuzipenda kutoka kwenye mioyo yao bali ni mazingira tu yalimpeleka huko au tuseme tunaganga njaa. Ndio maana huwa kuna neno hili: 'najinyima mwanangu asome asije kufanya kazi kama hii yangu'
 
Last edited by a moderator:
acha kupongeza upumbavu ww!walimu hawapo unavyofikiria ww,ila hasira nakutofundisha kwamoyo kunatokana mishahara duni!ww kama kweli nimtu wahaki utakubaliana namm,kamkubwa haiwezekani mzigo wakazi tembo afu mshahara sisimizi.walimu tutaendelea kushikiria ajira!

Tatizo la waalimu wetu sii lao ni hao marais wao, badala ya kupanga mishahara realistic wanakuja na figures ambazo kama zikilipwa then watumishi wengine wasilipwe mshahara! yaani watumishi woote wa umma waishi bila mishahara (ma dr, wanajeshi, police, mahakama, etc..)! hawa viongozi wao wanalamba pesa ya mwalimu house ya pale ilala wakati waalimu wetu wanasota! hata aibu hawana, kazi kupiga siasa tu shame on you mukoba na mtani wako!
poleni ma teachers, we all love you! and wish you all da best!
 
kuwa makini na kazi ya mtu,kwan mwalimu si mtu?nani asiyetoa maneno ya kukera endapo kaudhiwa?wat z busara?wewe unazo?hata ng'ombe anazo..
Uwezo wa kufikiri unapimwaje?na wew unauwezo wa kiasi gan?lazima utakuwa 0 tu.kama sio usingeandika uo upuuzi.
fikiria wanao alafu urudie kuandika iyo comment

ndivo mnavyowafanyia watoto wetu pindi wasiponunua maandazi yenu,mnawatukana matusi ya nguoni mnasema mmekereka,kama mshahara hautoshi ungeenda fani nyingine na kuacha kulalamika,ukibaki kuwa mwalimu inabidi ukubali mambo mawili,1 ufaulu wako haukuruhusu kwenda fani nyingine,2 ualimu ni wito huo ndo uhalisia msipige kelele kila siku mshahara fanyeni kazi ionekane sio kutuzalishia maziro na graduate wasiojua kusoma hutaki nenda fani nyingine la sivyo umekubali ualimu ni wito
 
Back
Top Bottom